Video: Mchungaji Mama Rwakatare akishangilia wito wa kuuawa “msaliti Zitto” uliotolewa na Bulembo

Wamuongeze kwenye list kwanza.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pelekeni sadaka ajenge ghorofa nyingine
Mimi huwa nawatafakari watu wanaosali makanisa ya Aina hii...nswaogopa!Hivi mnikumbushe Kuna kitu nakumbuka kwa mbali ila kinatoka au niliota!
Hivi di kulikuwa na habari ya huyu Mama Rwakwatare ili trend ...alipoonekana akicheza mchezo fulani wakuvingirishana...Kama mieleka na Mrembo mmoja hivi!
 
Sio hayo makanisa peke yake .
Yapo hata yale makongwe yenye viongozi waliojaa ubinafsi na ukada uliopitiliza mfano Pengo kusema kuwa Paulo anafaa kumrithi mkuu wa awamu Hii. Hana tofauti na Huyo mama Rwaka. Wote wanatamani kuona damu za wapinzani wa wazalendo feki zikimwagwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Known marekani mwenyewe wasaliti huwa anawapoteza.
 
Aliviringishana na nani mkuu?Pekua kumbukumbu tuendelee kuwafahamu vizuri viongozi wetu.Hatari sana
 
Lwakatare is a bufoon.

Lakini, kwa nini aliyeshangilia habari za Zitto msaliti kuuawa anakuwa habari kubwa kuliko aliyesema habari za Zitto msaliti kuuawa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hatumshangai Bulembo maana huenda keshaua kadhaa! Tunamshangaa mcunga kondoo kushangilia mauaji! Inashangaza sana kufikia hatua ya kutangaza na kushangilia mauaji kweupe.
 
Hatumshangai Bulembo maana huenda keshaua kadhaa! Tunamshangaa mcunga kondoo kushangilia mauaji! Inashangaza sana kufikia hatua ya kutangaza na kushangilia mauaji kweupe.
Mimi tangu zamani nilishajitoa katika ujinga wa kumuamini mtu kwa sababu ni kiongozi wa dini.

Hivyo simshangai, nawashangaa mnavyomshangaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye hii video clip chini ni Askofu Dr Mama Lwakatare akipiga makofi kuonyesha kukubaliana na Mbunge (simfahamu) aliyekuwa anasema kuwa MTU akitoa mambo ya TANZANIA nje ya nchi auwawe! Na katika case hii Zitto akatajwa kabisa kwa jina.

Huyu Askofu alipiga makofi kuonyesha kukubaliana na maoni/mtazamo/msimamo wa Mbunge huyu! Je NTU huyu kesho atamuongoza nani sala ya toba kama sio kumtania Mungu?

I stand to be corrected

Your browser is not able to display this video.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…