Video: Mchungaji Mama Rwakatare akishangilia wito wa kuuawa “msaliti Zitto” uliotolewa na Bulembo

Video: Mchungaji Mama Rwakatare akishangilia wito wa kuuawa “msaliti Zitto” uliotolewa na Bulembo

Unafiki ni kazi ngumu sana, hasa ukiwa na njaa! una dhalilika sana! hata ukiwa na cheo vipi!
 
Haya maneno nimeyasikia mara kadhaa kwa watu wanaomfahamu wanasema huyu mama si mtumishi wa Mungu Jehovah. Kwa matendo yake.

Hasha...mimi nisimhukumu. Lakini wengi ambao wamewahi sali pale na mama mmoja ambaye aliwah kuwa mzee wa kanisa kwa miaka mingi toka kanisa linajengwa.

Anasema mama lwakatare ana roho mbaya,ana matusi na kibri sana. Hili wengi wameonesha kuanza kukubaliana nalo baada ya kumwona akishangilia hoja ya Zitto kuuawa kwa sababu ya kupingana na wana CCM wengi.

Wakristo wanarejea pale Yesu alipokiwa ametulia zake kivulini anatafakari maisha na mara wasumbwi wakamletea mwanamke mmoja changu doa wakitaka kumpiga mawe mpaka avute kwa mujibu wa Taurati.

Yesu aliwacheckiiiiii halafu akawaambia.kati yenu hapa ambaye hajawahi mkosea Mungu awe wa kwanza kuokota jiwe kumtandika huyu mwanadada hapa.

Hakafu Yesu akainama akaendelea kuandika andika dhambi za kila mmoja mmoja pale chini.jamaa wakawa wanacheck wanakumbuka dhambi

Mmoja akajipigisha simu..akaanza kusema "hallooo ,halloo....sikusikii...ngoja nisogee hapa pembeni.. " akaondoka taratibu.

Mwingine akadai ameacha gari car wash hakufunga tairi ngoja awawahi mafundi.

Mwingine akadai ana mgonjwa anatakiwa awahi kwenda mwongezea damu...

Yesu kuinua macho hivi...anajikuta amebaki yeye tu na yule mrembo changudoa.basi akampa maneno ya Sir God na kumwambia aache kuwa anagongwa.atulie atapata bwana wa kumfaa. Yule dada akashukuru sana na kumwamini Yesu.

Leo bila aibu mama lwakatare anashabikia Zitto kuuawa? Huyu mama anadhihirisha kuwa kweli ni mtumishi wa shetani.maana ni totaly kinyume na Biblia ,kinyume na Mafundisho ya Yesu Kristo.

Shetani mtamtambua tu kwa matendo yake asikudanganye mtu.anaweza akavaa ngozi ya kondoo lakini Ule uumbwa mwitu utabaki tu kwenye matendo.
 
Kisa kashangilia zito + ni mwanaCCM?
 
Tuheshimu Viongozi wa dini

Sent using Jamii Forums mobile app
Weeee wewe acha nidhamu ya woga. Hakuna dhambi mbaya kama woga. Usipowaambia madhaifu yao, wakafa katika dhambi yao unayoifahamu damu yao itadaiwa mikononi mwako, acha unafiki.

Ni Mchungaji gani anashabikia na kuunga mkono umwagaji wa damu wa binadamu mwingine tena kiongozi mwenzake.Labda mapepo yanayokunywa damu za watu.Kitendo hicho hata waumini wa kanisa lake wanakilaani.

Hakuna taabu,na yeye iko siku ataonja vilevile,kipimo kile kile tena na kushindiliwa.
 
Back
Top Bottom