Video: Mchungaji Pilipili akiwa Club

Hata Yesu angekuwepo leo tukamuona akiwa na yule kahaba aliyemfuta miguu kwa machozi na nywele zake tungesema sijui anafanyiwa massage au kitu gani...nadhani wengine tungesema mmmh!...

Mc Pilipili siyo malaika na ubinafamu wake haumwondolei sifa ya kutumiwa na Mungu, Mungu alimtumia Nebukadreza kuona matukio makubwa yanayoendelea kutukia mpaka leo sembuse, Pilipili?
Let him live his life to the fullest
 
Ila Manara ana 50 sasa hivi angetulia azeeke kwa heshima
Bongo hakuna heshima mkuu. Tena ukijifanya mtu wa heshima unakufa njaa. Manara bila kujitoa ufahamu angekufa njaa. Bongo watu wa hovyo hovyo ndiyo wanaitwa eti watu maarufu na wanatumiwa na watawala kupumbaza wananchi. Ona kina Makonda, marehemu Le Mutuz, Mwamposya etc... Ni kuwa wananchi hatujitambui...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…