Video: Mchungaji Pilipili akiwa Club

Video: Mchungaji Pilipili akiwa Club

Hahaha! Ni Mchungaji wa kondoo wa bwana.
Anhaa, sasa kama anawachunga kondoo mbona kawaida sana hiyo kujirusha, mchungaji wetu wa mifugo wa Kimasai, mara anajisahau utamkuta bar na kondoo na mbuzi kawawachia wajichunge wenyewe.

Sioni ajabu hapo.
 
Back
Top Bottom