Video: Mchungaji Pilipili akiwa Club

Hayo maisha yanampa stress na huo ndo ukweli...hakuna maisha hapo..yani kwa sasa atakua na tress kuliko alivyokua singo maana hapo ameolea jamii ya insta..na wanamsubiri amess up wamzodoe...
Raha unatakiwa kujipa mwenyewe, tena hilo 'ua' kuwa nalo karibu litampunguzia stress.
 
MC Pilipili na Homeboy Nikki wa II walijichanganya sana kwenye kuchagua madem wa kuwa nao.. mimi siwaonei huruma kwasababu zamu yao ya kuwafaidi imeshapita. Ni ndoto ya kila rijali kumiliki mtoto mkali kama Cute Mena wa Pilipili au Joan wa Nikki. Kuhusu Manara tumsamehe tu kwa sababu ameshakuwa kama mwendawazimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…