Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpe na ushauri wa siku nyingine kabla hajaenda kutapeli, afanyeje kabla hawajamnyoa nywele.Kuna wanasheria wa kujitolea wanaweza kumpa msaada wa kisheria!
Baada ya hapo ni kula mbususu.Ilitakiwa wamnyoe kipara.... Lakini ningekua eneo la tukio ningemlipia
Mh. Gwajima anashughulikia hata trivial issues. Hata hili akalitazame!😄Sasa mdada amenyolewa kisa hana hela ndio waziri aingilie kati?, hebu kuwa serious kuna mengi waziri anatakiwa ashughulikie.
Pole kama ni wewe, siku nyingine usipende vyadezo kama huna hela
Yaa kweli watu wanasema asamehe hawajui kuwa kumsuka mtu inaweza chukua hata siku nzima mixer kuumia mikono na mgongoAu angeacha simu yake bondi. Akatafute hela kisha arudi kuikomboa. Ila simu yenyewe iwe smart sasa sio kitochi.
Yaani awapigie ndugu na jamaa au madanga yake yamtumieYaani wamwambie atafute pesa pale pale? Nani kaziweka hizo hela hadi atafute pale pale?
Mimi nilijua labda mzabzab kahusika kumbe kunyolewa tuu?
Dada Dorothy endelea na majukumu yako achana na hawa wapuuzi.
Umezungumza na Mungu kuhusu hayo Malipo?????Unamuchia huku ukimpa onyo na funzo, wewe utalipwa na Mungu. Hasara roho pesa makaratasi.
Kuna mwanaume kamtumbukiza kwa shimo huyo binti, naamini hiyo ilikuwa ahadi kama zile za ccm kwa wananchi.
Kuna haja ya watu kuishi kwa vipato vyao.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wasusi wengi ni single maza... anapokusuka amepiga mahesabu ya ugali wa mtoto halafu we unaleta ujuaji... unamkumbusha na hasira za kutelekezwa.... kufumuliwa lazima
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unaomba pesa una ambiwa sina una lazimisha utazani zako basi utaambiwa nenda kasuke takutumia ndo imeisha iyooo[emoji28][emoji28][emoji28]
Yani waziri ana kazi ya kutulindia wtt wetu ahangaike na minywele ya mtu jamani...Acheni kusumbua watu kwa vitu vidogo. Waziri ana mambo muhimu ya kufanya sio watu kunyoana nywele. Hao wenye wasusi hawana utu kumuachia mtu mmoja inakupunguzia nini? Ningekuwa karibu hapo ningemlipia huyo dada.
Kabisa wanatakiwa wakae kwa kutuliaHapo sasa hivi watu wanaleta dharau eee hawatujui huku nyuma ya JF wa kwetu...
Ahhaahahah
Sasa mdada amenyolewa kisa hana hela ndio waziri aingilie kati?, hebu kuwa serious kuna mengi waziri anatakiwa ashughulikie.
Pole kama ni wewe, siku nyingine usipende vyadezo kama huna hela