Video: Mdada aenda saluni kusuka wakati hana hela. Alichofanyiwa na mwenye saluni tunaomba Dkt Gwajima aingilie

Video: Mdada aenda saluni kusuka wakati hana hela. Alichofanyiwa na mwenye saluni tunaomba Dkt Gwajima aingilie

Sasa hapo waziri anaenda kusaidia kitu gani?

Yeye kapata huduma na hajafanya malipo stahiki.
 
Sasa mdada amenyolewa kisa hana hela ndio waziri aingilie kati?, hebu kuwa serious kuna mengi waziri anatakiwa ashughulikie.
Pole kama ni wewe, siku nyingine usipende vyadezo kama huna hela
Mh. Gwajima anashughulikia hata trivial issues. Hata hili akalitazame!😄

IMG-20250225-WA0081.jpg
 
Au angeacha simu yake bondi. Akatafute hela kisha arudi kuikomboa. Ila simu yenyewe iwe smart sasa sio kitochi.
Yaa kweli watu wanasema asamehe hawajui kuwa kumsuka mtu inaweza chukua hata siku nzima mixer kuumia mikono na mgongo
 
Yaani wamwambie atafute pesa pale pale? Nani kaziweka hizo hela hadi atafute pale pale?
Mimi nilijua labda mzabzab kahusika kumbe kunyolewa tuu?
Dada Dorothy endelea na majukumu yako achana na hawa wapuuzi.
Yaani awapigie ndugu na jamaa au madanga yake yamtumie
 
Wasusi wengi ni single maza... anapokusuka amepiga mahesabu ya ugali wa mtoto halafu we unaleta ujuaji... unamkumbusha na hasira za kutelekezwa.... kufumuliwa lazima
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wadada wa Low Cut wamepata mwanachama mpyaa.
Poleee yake, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Acheni kusumbua watu kwa vitu vidogo. Waziri ana mambo muhimu ya kufanya sio watu kunyoana nywele. Hao wenye wasusi hawana utu kumuachia mtu mmoja inakupunguzia nini? Ningekuwa karibu hapo ningemlipia huyo dada.
Yani waziri ana kazi ya kutulindia wtt wetu ahangaike na minywele ya mtu jamani...
 
Sasa mdada amenyolewa kisa hana hela ndio waziri aingilie kati?, hebu kuwa serious kuna mengi waziri anatakiwa ashughulikie.
Pole kama ni wewe, siku nyingine usipende vyadezo kama huna hela

kwa hiyo anamaanisha serikali iskikae kimya. ije na tamko?
 
Nyie Wanawake , Ukipata Mwanaume akakujali Kwa haja zako, anakuambia Baby Nakutumia Hela ukasuke, Hela ya Nguo , Hela ya mtoko, Hela ya Chakula, hata kama kwenye Kodi hakulipii.

Mshukuru Mungu.

Huyo dada kapigwa na Mwanaume wa Dar.

Wasukuma hatuna tabia kama hizo
 
Back
Top Bottom