DOKEZO Video: Mdada wa Kinondoni aliyeenda kufanya kazi za ndani Iraq afichiwa passport na mwajiriwa wake. Anyimwa chakula na kupitia mateso

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Kujikuta matatani kwa wadada wa kazi inaweza kutokea hata ndani ya nchi Cha msingi wahanga kutafuta mbinu ya kufikisha taarifa kuomba msaada, maisha popote.
 
Pole yake.
Ila huwa wanasema kuwa ni ndugu zao kiimani. Hapo tayari ashadungwa sumu za kuua kizazi azizae huko pamoja na kuliwa kiboga.
Samaleko.
 
Acha chuki na wale wanaoteswa hapa hapa bongo na wakinamama waliokosa malezi hao ni waarabu nao.
Huyo bahati mbaya tu kaangukia kwenye sufuria la uji.
Tabia hazina uhusiano na race
Au siyo mwarabu wa Kipati hapo Mbajala,hujui bora kuteseka ukiwa kwenu kuliko kuteseka ukiwa ugenini?

Ngoja siku yamkute ndugu yako maana ninyi wabishi kama hivi ndiyo always mnashindwa kuwashauri ndugu zenu sehemu za kwenda na sehemu zisizofaa kwenda,uzuri na ubaya unawaandika kwa wema wakati wao wanakuona nyani tu.
 
Tanzania kuna ardhi kubwa sana ya kulima, kuna fursa kibao lakini bado wengi ni malimbukine kukimbilia nje wakidhani kuna maisha mazuri.
SIONDOKI TZ
 
Hii ndio sababu nawachukia Waarabu. Hao mbwa ni uncivilized na wanaishi kama wanyama, wana akili ndogo na ukatili ndio lugha yao. Na hawa vichwa maji wala hawasikii wakiambiwa wasiende huko.

Kuwa Muislamu hakuwafanyi hao wajinga kuwa ndugu zako na vice versa. Na hii ni kwa dini zote, hakuna exception.

Alafu mtu unaendaje Iraq aisee? Ni bora upitilize kabisa uende motoni tu.
 
Na ni ndugu zake katika imaani...

Namuombea arudi salama Tanzania.
Ndugu zake katika "Imaaan"????? Ndugu zake nani? Wewe unaona waarabu ni ndugu zako wale? Uliona wapi ndugu wanafanyiana ukatili? Au ndivyo mnavyoishi hapo kwa baba yako? Acha kuandika upuuzi wewe!

Mambo mengine ni ya ajabu mpaka hujui ukasirike au ucheke! Mental domination with religions imefanya kazi. What a fuking plan!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…