The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 8,082
- 17,838
Kwasababu wanamtegemea Mungu Yesu.Mbona kina dada wa Arusha na Moshi huwezi kuwasikia wameenda huko uarabuni?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwasababu wanamtegemea Mungu Yesu.Mbona kina dada wa Arusha na Moshi huwezi kuwasikia wameenda huko uarabuni?
Zuberi nani yule 😄Kuna kiongozi wa CCM Mkoa wa Dar miaka fulani hii ndio ilikua biashara yake ya kuwasafirisha binadamu, alikua akiifanya yeye na Mke wake. Nimemsahau jina ila thread iko humu ndani
Kwanini hatuwasikii?Wanaenda mkuu sema huwasikii
Pole yake.Wakuu,
Mtanzania mwenye umri wa miaka 33, Fatma Nassoro anapitia mateso makubwa akiwa nchini Iraq, ambako alienda kufanya kazi tangu mwaka 2022. Fatma amesema amekuwa akiishi katika mazingira magumu chini ya mwajiri wake, huku akinyimwa chakula, kupigwa mara kwa mara, kutukanwa, kubezwa, na hata kutemewa mate.
Juhudi zake za kutaka kurejea nyumbani zimegonga mwamba baada ya mwajiri wake kuficha pasipoti yake, akimzuia kuondoka. Mwaka jana, Fatma alipata msiba mzito baada ya kufiwa na mtoto wake, lakini alinyimwa ruhusa ya kurudi Tanzania kuhudhuria mazishi.
Kwa sasa, hali imezidi kuwa ngumu, huku afya ya mama yake ikiwa dhoofu, lakini bado ameshindwa kurudi kumwona. Fatma anasema Iraq haina ubalozi wa Tanzania, hali iliyomwacha bila msaada wa karibu wa kisheria au ulinzi.
Amebainisha kuwa anawasiliana kwa siri kupitia namba ya jirani wakati mwajiri wake hayupo, akitafuta msaada wa kurejea nyumbani. Fatma anatoa wito kwa mamlaka za Tanzania na mashirika ya haki za binadamu kumsaidia kurejea salama na kumaliza mateso anayopitia.
GT pia wewe unawaoneaga jopo la watumishi wako?Wanalipwa bei gani?
Umenifanya nikaingalie 🤣 nilikuja moja kwa moja kwenye comment sectionLabda mimi nina matatizo jamani..hiyo video haisikitishi kabisa.
Au siyo mwarabu wa Kipati hapo Mbajala,hujui bora kuteseka ukiwa kwenu kuliko kuteseka ukiwa ugenini?Acha chuki na wale wanaoteswa hapa hapa bongo na wakinamama waliokosa malezi hao ni waarabu nao.
Huyo bahati mbaya tu kaangukia kwenye sufuria la uji.
Tabia hazina uhusiano na race
Yani Scandinavia huku tuna enjoy. Mazingira ya kazi ni pepo. Yani hadi unapochamba mikunduya vikongwe hujali harufu unajiona unachamba keki na kunusa manukato.Mzungu ndiye race bora kuliko zote hapa duniani
Atakuwa labda kidotiKuna kiongozi wa CCM Mkoa wa Dar miaka fulani hii ndio ilikua biashara yake ya kuwasafirisha binadamu, alikua akiifanya yeye na Mke wake. Nimemsahau jina ila thread iko humu ndani
Ni ndugu zetu katika imaniKila siku mnaambiwa waarabu sio watu hamuelewi...akome
Amesema yupo IraqBadala ya kulia angetoa taarifa za location alipo
Ukienda nchi za kiarabu ujiandae kuwa mtumwa/kijakazi.Kuna nchi yani hata hupaswi kuwaza kwenda.
Hasa nchi za waarabu.
Umepata masikitiko yoyote baada ya kuangalia?Umenifanya nikaingalie 🤣 nilikuja moja kwa moja kwenye comment section
Ndugu zake katika "Imaaan"????? Ndugu zake nani? Wewe unaona waarabu ni ndugu zako wale? Uliona wapi ndugu wanafanyiana ukatili? Au ndivyo mnavyoishi hapo kwa baba yako? Acha kuandika upuuzi wewe!Na ni ndugu zake katika imaani...
Namuombea arudi salama Tanzania.