secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 2,998
- 4,948
Inasikitisha sanaHakika. Aliona imeandikwa don't try this at home, akaamua akajaribishie shuleni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inasikitisha sanaHakika. Aliona imeandikwa don't try this at home, akaamua akajaribishie shuleni
😀😀Usinilaumu Mimi kwa kukosa MBS. Umasikini na ufukara nchini Tanzania ni zao la CCM kuendelea kubaki madarakani.
Hakikisha unakuwa sehemu ya mabadiliko.
Dai katiba mpya na tume huru ya haki ya uchaguzi ambayo kiongozi wake hajachaguliwa na mgombea yeyote wa kiti cha urais
Hakuna kitu hapoVideo hii hapa
Wapi?Hakuna kitu hapo
Huyo Kisado bila shaka ndio member wa JF anayejiita Lucas Mwashambwa
Wanaosema video haionekani, Tafadhali angalia post namba sita.
VIDEO:- Mfanya mazingaombwe aitwaye Kisado, awabemenda watoto wa shuke ya msingi huko Tabora na kuwafanya kuwa kama mazezeta.
Wanaosema video haionekani, Tafadhali angalia post namba sita. https://www.jamiiforums.com/threads/video-mfanya-mazingaombwe-aitwaye-kisado-awabemenda-watoto-wa-shuke-ya-msingi-huko-tabora-na-kuwafanya-kuwa-kama-mazezeta.2308635/post-52887553www.jamiiforums.com
Lucas Mwashambwa anajiona yeye ni zaidi ya AbduliSerikali ya Samia imekuwa ya hovyo sana kuruhusu wachawi kufundisha uchawi wao mashuleni na kuwadhuru wanafunzi
Uchawi ambao hauwapi maisha mazuri na maendeleo ya kiteknolojia ni hakuna uchawi hapo. Sema jamii inapenda kushabikia mambo ya hovyo kama haya na kuyapa promo.Serikali ya Samia imekuwa ya hovyo sana kuruhusu wachawi kufundisha uchawi wao mashuleni na kuwadhuru wanafunzi
Kuna upumbavu tuUchawi ambao hauwapi maisha mazuri na maendeleo ya kiteknolojia ni hakuna uchawi hapo. Sema jamii inapenda kushabikia mambo ya hovyo kama haya na kuyapa promo.
Hakuna Uchawi Tanzania
Kuna upumbavu tuUchawi ambao hauwapi maisha mazuri na maendeleo ya kiteknolojia ni hakuna uchawi hapo. Sema jamii inapenda kushabikia mambo ya hovyo kama haya na kuyapa promo.
Hakuna Uchawi Tanzania
Surgical blade, noma sanaWalililia wembe.....!
Hah hah
Sisi kijijini kwetu huko Ikungulyabhashashi alikuja mganga mazingaombwe kaongozana na mbeba madawa wake. Basi akaanza mazingaombwe kwa mbwembwe, akasema anaweza kumgeuza MTU kuwa panya, kisha akamrudisha kuwa binadamu.iNshu kama hii iliwah kutokea shulen kwetu,kidogo mwanamazigaombwe akimbie,alizimisha mtu kwa madawa yake na baadae akashindwa kumtoa kwenye hiyo hali
😂😂😂 we mzee dhambi ya uongo pekee ndio itakupeleka motoni.Sisi kijijini kwetu huko Ikungulyabhashashi alikuja mganga mazingaombwe kaongozana na mbeba madawa wake. Basi akaanza mazingaombwe kwa mbwembwe, akasema anaweza kumgeuza MTU kuwa panya, kisha akamrudisha kuwa binadamu.
Basi akauliza Nani yuko tayari kugeuzwa kuwa panya? Akatokea Dada mmoja mzuri sana, lakini hamfikii hata robo, msichana mrembo kushinda Malaika, mzuri kuliko hela, miss To yeye.
Akasema Niko tayari kubadilishwa kuwa panya. Basi mtaalam pamoja na Yule msaidizi wake wakampaka madawa Yule mrembo huku wakiongea maneno ya kichawi.
Mara Yule mrembo akageuka panya, akaanza kukimbia unaogopa watu. Dingi mmoja akageuka paka ghafla bin vuuuh... Akamfukuza Yule panya, akamkama na kummeza.
Kisha akarudi kwenye hali ya ubinadamu, kimbembe kikaanzia hapo, tunatakaaaaaa MTU wetu, tunatakaaaa MTU wetu..
..
Naunga mkono hoja.Video haipo
Ila sheria ichukue MKONDO wake ikithibika basi kisado apotelee gerezani
Kijiji chenyewe mpiga miti, una tegemea. nini?Tatizo wanamboka wanaendekeza sana ushirikina...☹️