VIDEO:- Mfanya mazingaombwe aitwaye Kisado, awageuza watoto wa shule ya msingi huko Tabora kuwa kama mazezeta

πŸ˜€πŸ˜€
 
Huyo Kisado bila shaka ndio member wa JF anayejiita Lucas Mwashambwa
 
Serikali ya Samia imekuwa ya hovyo sana kuruhusu wachawi kufundisha uchawi wao mashuleni na kuwadhuru wanafunzi
Uchawi ambao hauwapi maisha mazuri na maendeleo ya kiteknolojia ni hakuna uchawi hapo. Sema jamii inapenda kushabikia mambo ya hovyo kama haya na kuyapa promo.

Hakuna Uchawi Tanzania
 
iNshu kama hii iliwah kutokea shulen kwetu,kidogo mwanamazigaombwe akimbie,alizimisha mtu kwa madawa yake na baadae akashindwa kumtoa kwenye hiyo hali
Sisi kijijini kwetu huko Ikungulyabhashashi alikuja mganga mazingaombwe kaongozana na mbeba madawa wake. Basi akaanza mazingaombwe kwa mbwembwe, akasema anaweza kumgeuza MTU kuwa panya, kisha akamrudisha kuwa binadamu.

Basi akauliza Nani yuko tayari kugeuzwa kuwa panya? Akatokea Dada mmoja mzuri sana, lakini hamfikii hata robo, msichana mrembo kushinda Malaika, mzuri kuliko hela, miss To yeye.

Akasema Niko tayari kubadilishwa kuwa panya. Basi mtaalam pamoja na Yule msaidizi wake wakampaka madawa Yule mrembo huku wakiongea maneno ya kichawi.

Mara Yule mrembo akageuka panya, akaanza kukimbia unaogopa watu. Dingi mmoja akageuka paka ghafla bin vuuuh... Akamfukuza Yule panya, akamkama na kummeza.

Kisha akarudi kwenye hali ya ubinadamu, kimbembe kikaanzia hapo, tunatakaaaaaa MTU wetu, tunatakaaaa MTU wetu..
..
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ we mzee dhambi ya uongo pekee ndio itakupeleka motoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…