VIDEO:- Mfanya mazingaombwe aitwaye Kisado, awageuza watoto wa shule ya msingi huko Tabora kuwa kama mazezeta

Wawapeleke hospitali, ashawavutisha bangi watoto.

Wenzie wanatumiaga trick ndogondogo tu wanawawin watu vizuri bila kujionesha kama wanafabya uchawi, sasa kibongobongo mazingaombwe ni uchawi uliochangamka.
Sasa huyu hata uchawi hauwezi
 
Wawapeleke hospitali, ashawavutisha bangi watoto.

Wenzie wanatumiaga trick ndogondogo tu wanawawin watu vizuri bila kujionesha kama wanafabya uchawi, sasa kibongobongo mazingaombwe ni uchawi uliochangamka.
Bangibtena? Si ndio watavua na nguo kabisa?
 
Serikali ya Samia imekuwa ya hovyo sana kuruhusu wachawi kufundisha uchawi wao mashuleni na kuwadhuru wanafunzi
Hakika, hii mambo ya mazingaombwe imepitwa na wakati na ipigwe marufuku mashuleni. Karne hii tunafundisha watoto sayansi, teknolojia na digitali na bado tunaendekeza mazingaombwe! Tusiwachanganye watoto. Itapendeza Waziri wa Elimu atoe waraka wa kupiga marufuku maujinga kama hayo kupelekwa mashuleni.
 
Mipango ya CCM kufubaza watoto wapende miujiza zaidi kuliko kupenda tafiti za kisayansi
 
Itapendeza Waziri wa Elimu atoe waraka wa kupiga marufuku maujinga kama hayo kupelekwa mashuleni.
Waziri wa hiki chama ambacho ndio BABA WA MAZINGAOMBWE?
Kwenye mikutano yao wanajaza wafanya mazingaombwe ili wapate umati MKUBWA wa watu.

 
 
🀣🀣🀣Ila Bujibuji Simba Nyamaume unazinguaπŸ₯΄πŸ₯΄
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…