VIDEO:- Mfanya mazingaombwe aitwaye Kisado, awageuza watoto wa shule ya msingi huko Tabora kuwa kama mazezeta

Ndiyo mkome nyie walimu wa shuleni

Ova
 
Kisado daaah
 
Sheikh wangu hili rungu nimelikwepa.
 
Someni dini muujue uislamu vizuri, mkijua haya hamtathubutu kuwapeleka watoto wenu mashule yasiyo na misingi ya dini yetu/UISLAMU
 
Wawapeleke hospitali, ashawavutisha bangi watoto.

Wenzie wanatumiaga trick ndogondogo tu wanawawin watu vizuri bila kujionesha kama wanafabya uchawi, sasa kibongobongo mazingaombwe ni uchawi uliochangamka.
Kweli Mkuu, Majuzi kati nilipita soko fulani kuna wadau wanachezesha kamari, wana card tatu moja inakuwa na picha zingine mbili zinakuwa empty

Kuna dogo alijichanganya kucheza huo mchezo alipigwa hela yote ya biashara.
 
Hana akili
 
Hakuna namna,
tuendelee kumshukuru Mwenyekiti wa chama na serikali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…