Uchaguzi 2020 Video: Mgombea CCM ashindwa kutofautisha jinsi yake

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
122,494
Reaction score
96,074
Wagombea wa CCM hakika hawaishi vituko, leo huko kwenye kampeini kuna mgombea Ubunge katoa ya mwaka.

Ebu msikikize jamani, huyu ndiyo aingie bungeni achambue mikataba ya wawekezaji kweli? Au ndiyo wale wa kukubaliana na kuka hoja kwa100%.

Watanzania tusifanye kosa kuwapigia kura watu kama hawa ni hatari kwa taifa letu.

Your browser is not able to display this video.
 
CCM vilaza ni wengi, aliekuwa spika wao ambae Pia ni kilaza,aliwai sema wao hawajali hoja bali wanapeleka vilaza wengi bungeni WA kupitisha utopolo wao, yani maccm ni janga la taifa.
Mbona mwenyekiti wao magufuli ni msomi sana,
 
Sasa unaambiwa huyo kajaza form yake vizuri, ila wapinzani ndio wanakoseaga hahahahaha daaah hii nchi Mungu atusaidie..
Ndiyo maana walikimbilia kukata rufaaa baada ya hukumu ya kuwaengua wakurugenzi kuwa wasimamizi wa uchaguzi.

Tumshukuru sana dogo Wangwe kwa kuthubutu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…