Uchaguzi 2020 Video: Mgombea CCM ashindwa kutofautisha jinsi yake

Uchaguzi 2020 Video: Mgombea CCM ashindwa kutofautisha jinsi yake

Mbona unaendelea kujibu comment zanguuu kamahuna mda wakunifuatilia??
Ni kwasababu napata notification kuwa kuna mtu kaniquote na nikifungua nakuta ni wewe!
Chukua ushauri wangu wa mwisho,hapa JF ukitaka kujenga hoja na ikubalike lazima ujipange!Hii ni kuanzia matumizi sahihi ya sarufi,alama za uandishi,ufasaha wa maneno na kubwa zaidi mpangilio mzuri wa hoja!
Tofauti na hapo utaonekana poyoyo tu msaka tonge,hutaheshimika!Hii ni JF na si Facebook walikojaa wajinga wajinga!Kwaheri.
 
Hapo kacheza na akili za kina mama wewe huwezi kumelewa, anajua wapiga kura ni wakina mama, so anatumia lugha itakayo mbembeleza wakaina mama wenzake, marketing strategy is a key point
Ukisikia kujidhalilisha ndiyo huko yaani unaikana jinsi yako kisa kura?

Kwahiyo wakitokea watu wakakuahidi kukupatia ushindi ili uwe bungeni lkn sharti lao wakufanye kitu mbaya utakuwa tayari kisa ubunge?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wagombea wa CCM hakika hawaishi vituko, leo huko kwenye kampeini kuna mgombea ubunge katoa ya mwaka.

Ebu msikikize jamani, huyu ndiyo aingie bungeni achambue mikataba ya wawekezaji kweli? Au ndiyo wale wa kukubaliana na kuka hoja kwa100%.

Watanzania tusifanye kosa kuwapigia kura watu kama hawa ni hatari kwa taifa letu.

View attachment 1564728
Wengine kule ni kupiga makofi tuu yale madawati yetu
 
Wagombea wa CCM hakika hawaishi vituko, leo huko kwenye kampeini kuna mgombea ubunge katoa ya mwaka.

Ebu msikikize jamani, huyu ndiyo aingie bungeni achambue mikataba ya wawekezaji kweli? Au ndiyo wale wa kukubaliana na kuka hoja kwa100%.

Watanzania tusifanye kosa kuwapigia kura watu kama hawa ni hatari kwa taifa letu.

View attachment 1564728
Mbona kajaza sana wapi huko mkuu.
Halafu nikuilize ushawahi onge hata mbele ya kadamnasi kuanzi 400 hivi.
Hivi vitu vipo sana.
 
😂 😂 😂 😂 😂 akili za wana CCM zote zipo ivyo
 
Back
Top Bottom