Uchaguzi 2020 Video: Mgombea CCM ashindwa kutofautisha jinsi yake

Uchaguzi 2020 Video: Mgombea CCM ashindwa kutofautisha jinsi yake

Kiwanda chenu chamatusi kililipayuka kwenye mkotano wa kampeni ya kikundi chenu pale mbeya mjini. Wala hakumtaja huyo unayemtuhumu. Alitaja watumishi wa uma kwa ujumlaa. Usihamishe magoli.
Hiyo propaganda imeshabuma,wala hakuna mtumishi aliyeshtuka!Mimi kama mtumishi sikukwazika maana najua kazi sijapewa na JPM na zaidi sijapewa kama fadhila au msaada bali ni qualifications zangu!JPM hawezi kunifukuza kazi,tofauti na hao ambao amewaokota jalalani!
 
Mpaka kunikosoa, umenielewaaa.
Matusi nayo ndo ilani ya uchaguzi ya kikundi chenu. Endeleeni kutukana hamna shidaaa.
Shida siyo kukuelewa,rudi ukasome na jiendeleze kielimu!
Hapa kwenye huu uzi unatetea ujinga tu!Jaribu kujenga hoja kulingana na mada husika!
 
Ujumbe umekukaaaa vyemaa. Mpaka umekosoa mwandishi, umenielewaa. Endelea kunifuatilia mkuuuu.
Wala hata usijipe moyo!Hii ni JF,huwezi kutoka mtupu kama ulivyokuja!Lazima utaongeza maarifa!Najua siku nyingine kwenye hayo maneno huwezi kukosea!
Thank me later!
 
Wala hata usijipe moyo!Hii ni JF,huwezi kutoka mtupu kama ulivyokuja!Lazima utaongeza maarifa!Najua siku nyingine kwenye hayo maneno huwezi kukosea!
Thank me later!
Mwalimu akifundisha ilikuonesha wanafunzi wamemuelewa nikuanza kuumuliza maswaliii. Endelea kunifuatilia mafundisho yangu utanielewa na nitakufundisha mengiii.
 
Wagombea wa CCM hakika hawaishi vituko, leo huko kwenye kampeini kuna mgombea ubunge katoa ya mwaka.

Ebu msikikize jamani, huyu ndiyo aingie bungeni achambue mikataba ya wawekezaji kweli? Au ndiyo wale wa kukubaliana na kuka hoja kwa100%.

Watanzania tusifanye kosa kuwapigia kura watu kama hawa ni hatari kwa taifa letu.

View attachment 1564728
Hapo kacheza na akili za kina mama wewe huwezi kumelewa, anajua wapiga kura ni wakina mama, so anatumia lugha itakayo mbembeleza wakaina mama wenzake, marketing strategy is a key point
 
Mwalimu akifundisha ilikuonesha wanafunzi wamemuelewa nikuanza kuumuliza maswaliii. Endelea kunifuatilia mafundisho yangu utanielewa na nitakufundisha mengiii.
Sina muda wa kukufuatilia,ila kwa leo nitakuwa nimekuwa msaada kwako kiasi fulani!
Kiukweli sidhani kama hata umefika form four!
Uandidhi wako una shida sana,jielimishe maana elimu haina mwisho!
 
Wagombea wa CCM hakika hawaishi vituko, leo huko kwenye kampeini kuna mgombea ubunge katoa ya mwaka.

Ebu msikikize jamani, huyu ndiyo aingie bungeni achambue mikataba ya wawekezaji kweli? Au ndiyo wale wa kukubaliana na kuka hoja kwa100%.

Watanzania tusifanye kosa kuwapigia kura watu kama hawa ni hatari kwa taifa letu.

View attachment 1564728
Joseph musukuma na Hamis Tambasamu. std 7
 
Sina muda wa kukufuatilia,ila kwa leo nitakuwa nimekuwa msaada kwako kiasi fulani!
Kiukweli sidhani kama hata umefika form four!
Uandidhi wako una shida sana,jielimishe maana elimu haina mwisho!
Mbona unaendelea kujibu comment zanguuu kamahuna mda wakunifuatilia??
 
Back
Top Bottom