Tigershark
JF-Expert Member
- Oct 9, 2018
- 7,051
- 12,566
Ni kwasababu napata notification kuwa kuna mtu kaniquote na nikifungua nakuta ni wewe!Mbona unaendelea kujibu comment zanguuu kamahuna mda wakunifuatilia??
Chukua ushauri wangu wa mwisho,hapa JF ukitaka kujenga hoja na ikubalike lazima ujipange!Hii ni kuanzia matumizi sahihi ya sarufi,alama za uandishi,ufasaha wa maneno na kubwa zaidi mpangilio mzuri wa hoja!
Tofauti na hapo utaonekana poyoyo tu msaka tonge,hutaheshimika!Hii ni JF na si Facebook walikojaa wajinga wajinga!Kwaheri.