Uchaguzi 2020 Video: Mgombea CCM ashindwa kutofautisha jinsi yake

CCM vilaza ni wengi, aliekuwa spika wao ambae Pia ni kilaza,aliwai sema wao hawajali hoja bali wanapeleka vilaza wengi bungeni WA kupitisha utopolo wao, yani maccm ni janga la taifa.
Ukisikia vilaza na viwonda ndio hivi
 
ILA KUWATUKANA WATUMISHI WA UMA NI TAKAKA ZA JALALANI. SIOKUTUKANA KWA MJIBU WA KIKUNDI CHENU
Hakuna aliye tukana, hilo neno la kuokotwa JALALANI alijisema mwenyewe Kabudi tena mbele ya kadamnasi.

Leo hii mnajufanya kubadili gia angani ili kutafuta huruma za wananchi ili mpigiwe kura?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiwanda chenu chamatusi kililipayuka kwenye mkotano wa kampeni ya kikundi chenu pale mbeya mjini. Wala hakumtaja huyo unayemtuhumu. Alitaja watumishi wa uma kwa ujumlaa. Usihamishe magoli.
 
Fomu yake ya ugombea haikuwa na kosa hata moja kweli?
 
Kiwanda chenu chamatusi kililipayuka kwenye mkotano wa kampeni ya kikundi chenu pale mbeya mjini. Wala hakumtaja huyo unayemtuhumu. Alitaja watumishi wa uma kwa ujumlaa. Usihamishe magoli.
Tatizo ndiyo kwanza unaanza kufuatilia mambo ya siasa hapa Tanzania, naona ndiyo umeingia juzi na Nyahunge kutokea koromitdje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo ndiyo kwanza unaanza kufuatilia mambo ya siasa hapa Tanzania, naona ndiyo umeingia juzi na Nyahunge kutokea koromitdje

Sent using Jamii Forums mobile app
Baada ya kuanza kufuatilia siasa, ndonikagundua mgombea wenu nikiwanda cha matusi. Nakulazimisha uraisi apewe kwa huruma kama kifuta machozi.

Watanzania sio mazwazwa.
 
Chadema baada ya kila kiki mnayookotesa kubuma, sasa mumebakia kuwa wambea wambea hadi mnatia hurumaa. Hii kiki hata ukiiisambaza zaidi nikutusaidia kuonesha mafuliko ya Jpm.
Rudi darasani ukajifunze kusoma na kuandika,kwa mujibu wa NEC kama ungekuwa mgombea ungeenguliwa maana hujui matumizi ya R na L!Ni mafuriko sio mafuliko!
Ukiachana na hilo,umeandika upuuzi mtupu!
 
Rudi darasani ukajifunze kusoma na kuandika,kwa mujibu wa NEC kama ungekuwa mgombea ungeenguliwa maana hujui matumizi ya R na L!Ni mafuriko sio mafuliko!
Ukiachana na hilo,umeandika upuuzi mtupu!
Mpaka kunikosoa, umenielewaaa.
Matusi nayo ndo ilani ya uchaguzi ya kikundi chenu. Endeleeni kutukana hamna shidaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…