Kiongozi mkuu2020
JF-Expert Member
- Aug 8, 2020
- 1,748
- 998
Ujumbe umekukaaaa vyemaa. Mpaka umekosoa mwandishi, umenielewaa. Endelea kunifuatilia mkuuuu.Mkishilikiana=mkishirikiana!
Huna sifa za kugombea hata udiwani sababu ya ile sifa ya kujua kusoma na kuandika!
Huyu inawezekana kabisa anazo zote mbili
Jr[emoji769]
Hiyo propaganda imeshabuma,wala hakuna mtumishi aliyeshtuka!Mimi kama mtumishi sikukwazika maana najua kazi sijapewa na JPM na zaidi sijapewa kama fadhila au msaada bali ni qualifications zangu!JPM hawezi kunifukuza kazi,tofauti na hao ambao amewaokota jalalani!Kiwanda chenu chamatusi kililipayuka kwenye mkotano wa kampeni ya kikundi chenu pale mbeya mjini. Wala hakumtaja huyo unayemtuhumu. Alitaja watumishi wa uma kwa ujumlaa. Usihamishe magoli.
Kwa nini lisu hajanipeleka mahakamani kama ananifahamu?
Shida siyo kukuelewa,rudi ukasome na jiendeleze kielimu!Mpaka kunikosoa, umenielewaaa.
Matusi nayo ndo ilani ya uchaguzi ya kikundi chenu. Endeleeni kutukana hamna shidaaa.
Wacha papalaKwa nini lisu hajanipeleka mahakamani kama ananifahamu?
Wala hata usijipe moyo!Hii ni JF,huwezi kutoka mtupu kama ulivyokuja!Lazima utaongeza maarifa!Najua siku nyingine kwenye hayo maneno huwezi kukosea!Ujumbe umekukaaaa vyemaa. Mpaka umekosoa mwandishi, umenielewaa. Endelea kunifuatilia mkuuuu.
Haaaa haaaa. Hiyo kiki ilishawabumia siku nyingiiii hadi mnatia hurumaa.
Mwalimu akifundisha ilikuonesha wanafunzi wamemuelewa nikuanza kuumuliza maswaliii. Endelea kunifuatilia mafundisho yangu utanielewa na nitakufundisha mengiii.Wala hata usijipe moyo!Hii ni JF,huwezi kutoka mtupu kama ulivyokuja!Lazima utaongeza maarifa!Najua siku nyingine kwenye hayo maneno huwezi kukosea!
Thank me later!
Hapo kacheza na akili za kina mama wewe huwezi kumelewa, anajua wapiga kura ni wakina mama, so anatumia lugha itakayo mbembeleza wakaina mama wenzake, marketing strategy is a key pointWagombea wa CCM hakika hawaishi vituko, leo huko kwenye kampeini kuna mgombea ubunge katoa ya mwaka.
Ebu msikikize jamani, huyu ndiyo aingie bungeni achambue mikataba ya wawekezaji kweli? Au ndiyo wale wa kukubaliana na kuka hoja kwa100%.
Watanzania tusifanye kosa kuwapigia kura watu kama hawa ni hatari kwa taifa letu.
View attachment 1564728
Ni msomi kwa wasiojua mini maana ya usomi! Lakini Jiwe ni kilaza wa kiwango cha cha SGR.Mbona mwenyekiti wao magufuli ni msomi sana,
Msomi wa nini?alisoma chuo gani?alikuwa anasoma lugha gani?MASKINI BEN SANANE!huyo ni mwizi mzuri wa vyeti sio "msomi"Mbona mwenyekiti wao magufuli ni msomi sana,
Sina muda wa kukufuatilia,ila kwa leo nitakuwa nimekuwa msaada kwako kiasi fulani!Mwalimu akifundisha ilikuonesha wanafunzi wamemuelewa nikuanza kuumuliza maswaliii. Endelea kunifuatilia mafundisho yangu utanielewa na nitakufundisha mengiii.
Joseph musukuma na Hamis Tambasamu. std 7Wagombea wa CCM hakika hawaishi vituko, leo huko kwenye kampeini kuna mgombea ubunge katoa ya mwaka.
Ebu msikikize jamani, huyu ndiyo aingie bungeni achambue mikataba ya wawekezaji kweli? Au ndiyo wale wa kukubaliana na kuka hoja kwa100%.
Watanzania tusifanye kosa kuwapigia kura watu kama hawa ni hatari kwa taifa letu.
View attachment 1564728
Mbona unaendelea kujibu comment zanguuu kamahuna mda wakunifuatilia??Sina muda wa kukufuatilia,ila kwa leo nitakuwa nimekuwa msaada kwako kiasi fulani!
Kiukweli sidhani kama hata umefika form four!
Uandidhi wako una shida sana,jielimishe maana elimu haina mwisho!
Ongeza sugu, mchungaji msigwa, lema, professor j, kubenea, mbowe n.k,n.kJoseph musukuma na Hamis Tambasamu. std 7
Toa hapo mwana FA mgombea wa handeni.Ongeza sugu, mchungaji msigwa, lema, professor j, kubenea, mbowe n.k,n.k