Uchaguzi 2020 VIDEO: Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM Bukoba vijijini, Jason Rweikiza afukuzwa na wananchi wakati akiomba kura

Fukuza kabisa,hawa wakiingia Bungeni watakuwa na kazi ile ile ya kupitisha sheria kandamizi na kutetea serikali badala ya wananchi na hawa wanaweza kubadili katiba ili kumuongezea mtu fulani muda wa kukaa ofisini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…