Uchaguzi 2020 VIDEO: Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM Bukoba vijijini, Jason Rweikiza afukuzwa na wananchi wakati akiomba kura

Uchaguzi 2020 VIDEO: Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM Bukoba vijijini, Jason Rweikiza afukuzwa na wananchi wakati akiomba kura

Ila bukoba na kagera wanaichukia CCM sio poa

Hasa hiyo bukoba vijijin.
 
Nakataa hii ni video ya kipindi cha vijiji vya ujamaa huko 1970's,wenzetu mnachakata sana picha/video ,hahahah hiiiiiìiiiiiiiiiiiiiiii .
Ungeelewa hicho kihaya na yanayoongelewa husingesema hivi.

Mbunge anasema amejenga zahanati ya kijiji kumbe kuna maghofu tu
 
Back
Top Bottom