share
JF-Expert Member
- Nov 22, 2008
- 6,064
- 10,468
Lichumia tumbo hili. Likafie mbele. Ccm hakuna anayefaa, wote wezi. Ni ukoo wa panya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lichumia tumbo hili. Likafie mbele. Ccm hakuna anayefaa, wote wezi. Ni ukoo wa panya.
Wananchi ndio wamefanya mkuu. I wish ningeelewa walichokuwa wakimuuliza kwa kihaya😂😂Hii sio sawa
Chakushangaza hata maendeleo hawana, Sasa hivi ukitaka house girl unaagiza bukoba sio singida tenaHii Bukoba ina nini ? Magufuli alitimuliwa , huyu naye katimuliwa !
Kama mtu ameongoza Jimbo miaka 10 na hakuna maendeleo yoyote Kwa nini wasikufukuze?Hii sio sawa
Hao ndo wahaya halisi. Hawafichagi hasira zao.Hao watakuwa ni raia wa Burundi/Rwanda. [emoji3][emoji3][emoji3]
Ungeelewa hicho kihaya na yanayoongelewa husingesema hivi.Nakataa hii ni video ya kipindi cha vijiji vya ujamaa huko 1970's,wenzetu mnachakata sana picha/video ,hahahah hiiiiiìiiiiiiiiiiiiiiii .
Hii Bukoba ina nini ? Magufuli alitimuliwa , huyu naye katimuliwa !
Walisema vijijini et ndio kuna watu hawajielewi wala hawamjui lissu kamwe!
Generally wamemuuliza unavyovisema umevifanya mbona hatuvioni.Wananchi ndio wamefanya mkuu. I wish ningeelewa walichokuwa wakimuuliza kwa kihaya[emoji23][emoji23]
kumbe ndio maana ya kupita bila kupingwa !!!Mkuu sasa ndio naelewa kwa nini CCM wanataka kupita bila ya kupingwa! Kwa dalili hizi ninazoziona basi wananchi hawatawapigia kura.
Wewe hujaona? Pumbavu nini?Kafukuzwaje?
Sijui kihaya ila nilivyosikia AKAGENDE! nikajua imeisha hiyoo!
Inamaanisha Mwacheni aende!! Ha ha haaaaa Mh. Mbunge chaliiii! Jimbo la Mh. Conchester Rwamlaza a.k.a Ma Konche hilo!LEKA AGENDE ndio ina maana gani kwa kiswahili?