Turnkey
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 7,359
- 5,837
Kama Magu sioHao watakuwa ni raia wa Burundi/Rwanda. [emoji3][emoji3][emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama Magu sioHao watakuwa ni raia wa Burundi/Rwanda. [emoji3][emoji3][emoji3]
Ukiona hivyo ujue kuwa mambo ni faya........Hii Bukoba ina nini ? magufuli alitimuliwa , huyu naye katimuliwa !
Wahaya fanyeni kweli, mmenyanyaswa sanaMagufuli na CCM yake wanavuna walichokipanda.
Anatokea mpuuzi mmoja wa NEC anakuambia Huyu Fala alikataliwa na wananchi ndio mshindi.
Mkuu sasa ndio naelewa kwa nini CCM wanataka kupita bila ya kupingwa! Kwa dalili hizi ninazoziona basi wananchi hawatawapigia kura.😂😂😂😂😂😂😂 mamamamae kafukuzwa kama mbwa mwizi. 🤣🤣🤣🤣
😂😂kwanza hio sio ccm ya tanzania. Ni huko bukinafasoNakataa hii ni video ya kipindi cha vijiji vya ujamaa huko 1970's,wenzetu mnachakata sana picha/video ,hahahah hiiiiiìiiiiiiiiiiiiiiii .
Kakutana na Hard talk ya Bukoba.Kafukuzwaje?
Wahaya sio watu wazuri
Nao Ni watu kumbe😳😳?Wahaya sio watu wazuri
bando la kupewa noma kweli ! video umewekewa ila huna uwezo wa kufungua !Kafukuzwaje?
Elimu elimu elimuWalianza wananchi kumhoji Askofu Gwajima, Sasa Rweikiza kweli elimu ya uraia kupitia Uhuru, Haki na Maendeleo inazidi kueleweka
Inapendeza hahahhh
Kama kazi yake ilikuwa ni kuwa busy kupiga makofi ya kusema ndiyo kila kitu huko bungeni badala ya kutumikia wananchi unasemaje si sawa?!Hii sio sawa