Uchaguzi 2020 VIDEO: Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM Bukoba vijijini, Jason Rweikiza afukuzwa na wananchi wakati akiomba kura

Kinachosikitisha ni... pale unapoamini tangopori ulilonalo mkono wananchi watalila kwa furaha!!! Hawa jamaa hawasomi alama za nyakati wakitaka kutumia uongo na mbinu zilezile....
Washasahau yaliyopita kwenye tetemeko...
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mamamamae kafukuzwa kama mbwa mwizi. 🀣🀣🀣🀣
Ila atapita kwa kishindo
 
Haaa haaa just haaa haaa..!
Kuna mtu anasikika anasema UTOPOLO huyu mheshimiwa, . Mwingine anasema aondoke.!
 
Chakushangaza hata maendeleo hawana, Sasa hivi ukitaka house girl unaagiza bukoba sio singida tena
πŸ˜€πŸ˜€ mbona ma house girl tunaagiza geita na chato
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…