instanbul
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 12,037
- 17,212
Bora atoke hapaLEKA AGENDE ndio ina maana gani kwa kiswahili?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora atoke hapaLEKA AGENDE ndio ina maana gani kwa kiswahili?
Wangefukuzwa CHADEMA ingekuwa sawaHii sio sawa
Hujasikia neno 'UTOPOLO' kama bado tazama video tena.Sijui kihaya ila nilivyosikia AKAGENDE! nikajua imeisha hiyoo!
Kweli kabisa huyu mgombea atakuwa mhutu wa Burundi kama JiweHao watakuwa ni raia wa Burundi/Rwanda. [emoji3][emoji3][emoji3]
Hapo wanasema matopolo!Hujasikia neno 'UTOPOLO' kama bado tazama video tena.
Uongo wa kiwango cha lami
Huyu ni kiongozi wa wabunge wote wa CCM, hao nshomile hawajamtendea haki!
Ccm wote wanatakiwa wafukuzwe hivi hivi
Hii Bukoba ina nini ? Magufuli alitimuliwa , huyu naye katimuliwa !
Ni wahutu km jiweHao watakuwa ni raia wa Burundi/Rwanda. [emoji3][emoji3][emoji3]
Watu wa Bukoba mnachokitafuta Magufuli akifanikiwa kutoboa mtakipata, nawaapi Magufuli atawanyoosha Idd Amin Dadaa akasome
Watu wa bukoba huchukia kila kitu, hawajui wanataka nini ama hawataki niniHii Bukoba ina nini ? Magufuli alitimuliwa , huyu naye katimuliwa !
Ila atapita kwa kishindo😂😂😂😂😂😂😂 mamamamae kafukuzwa kama mbwa mwizi. 🤣🤣🤣🤣
Mtu amekaa bungeni miaka 10 na hafanyi lolote kwenye Jimbo lake.Huyu ni kiongozi wa wabunge wote wa CCM, hao nshomile hawajamtendea haki!
😀😀 mbona ma house girl tunaagiza geita na chatoChakushangaza hata maendeleo hawana, Sasa hivi ukitaka house girl unaagiza bukoba sio singida tena