Uchaguzi 2020 VIDEO: Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM Bukoba vijijini, Jason Rweikiza afukuzwa na wananchi wakati akiomba kura

Chakushangaza hata maendeleo hawana, Sasa hivi ukitaka house girl unaagiza bukoba sio singida tena
Sorry .

Ushawahi fika bukoba vijijin? Au unaongea Tu.


We unafikiri kiburi na dharau hiz zinatoka wap?
Mfano Tu
 
Wahaya sijui wana shida gani?
Ukimwi nyie,katero nyie,tetemeko nyie...
Nilipowaambia kura niliwaahidi kuwaletea tetemeko kisha niwajengee nyumba?


Ni maneno ya kuishi mno kutoka kwa mkuu wa nyumba,na bado hatujayasahau
 
Kinachosikitisha ni... pale unapoamini tangopori ulilonalo mkono wananchi watalila kwa furaha!!! Hawa jamaa hawasomi alama za nyakati wakitaka kutumia uongo na mbinu zilezile....
Washasahau yaliyopita kwenye tetemeko...
Icho ndicho kinachowakosti mpaka leo jinsi walivyozalilishiwa sidhani kama watakuwa wamesahau
 
Generally wamemuuliza unavyovisema umevifanya mbona hatuvioni.

Kuna mmoja kasema Karne ya 21 bado tunavuka mto Kwa kivuko na ameshindwa kujenga daraja!!
Mwingine kasema zahanati anayosema iko wap?
Hata Magufuli angekuwa anaulizwa mafanikio anayoimba kila siku kila mahali mbona hayaonekani baada ya miaka 5 anaomba miaka mingine 5 kumalizia miradi aliyoanzisha? Mafanikio yanapimwa baada ya Mradi kukamilika, kukabithiwa na kuanza kutoa huduma lakini mbona hata maendeleo ya utekelezaji hayaonekani
tunaambiwa tu sh. trilioni zilizotumika au kutengwa, je hicho ndo wananchi wanahitaji? Viwanda 3000 vya cherehani 4 vya Mwijage aliyetumbuliwa mbona havionekani na wananchi tunaendelea kuvaa mitumba toka kwa mabeberu? Awamu hii maneno mengi, maswali mengi!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mamamamae kafukuzwa kama mbwa mwizi. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unajuwa Watanzania wengi hawajiamini katika maamuzi. Wangefahamu kuwa ujio wa Lissu ungeleta mabadiliko haya na hamasa kubwa hakika watu wengi makini zaidi wangejitokeza kugombea Ubunge na udiwani toka upinzani bila woga.
Kwa sasa ccm muda wa kampeni uliobaki wanauona kama mwaka mzima uliojaa mateso
 
Hii ni sawa na kusema maji yamelowa na moto umeungua🤣🤣🤣🤣
 
Generally wamemuuliza unavyovisema umevifanya mbona hatuvioni.

Kuna mmoja kasema Karne ya 21 bado tunavuka mto Kwa kivuko na ameshindwa kujenga daraja!!
Mwingine kasema zahanati anayosema iko wap?
Hahaha aisee wananchi wameamua kuvaa ujasiri sasa. Hupati kura kama hakuna uliyofanya😁😁
 
Ndo maana wanajiamini kiasi hiki.

Kuna ujanja mwingi Sana wa kiakili wanaoutumia wahaya kuwa na Maisha mazuri. Hawategemei serikali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…