Valuhwanoswela
JF-Expert Member
- Jun 27, 2019
- 1,229
- 1,125
Kilianza Kisukuma tu sasa ni Kihaya tu na kabla ya muda wa kampeni kwisha kitafuata Kikurya tu kukamilisha Kanda yetu ya Ziwa. Kizanaki tupilia mbali!Halafu ni kihaya tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kilianza Kisukuma tu sasa ni Kihaya tu na kabla ya muda wa kampeni kwisha kitafuata Kikurya tu kukamilisha Kanda yetu ya Ziwa. Kizanaki tupilia mbali!Halafu ni kihaya tu
Wahaya hawana maendeleo?Chakushangaza hata maendeleo hawana, Sasa hivi ukitaka house girl unaagiza bukoba sio singida tena
Sorry .Chakushangaza hata maendeleo hawana, Sasa hivi ukitaka house girl unaagiza bukoba sio singida tena
asa kama hana sera wamfanye je?Hii sio sawa
Wanavuna alichopanda kiranja mkuuDhambi ya kuwagawa Watanzania kwa misingi yoyote ile ni mbaya sana.
Wahenga walisema utavuna ulichopanda.
Dalili njema ya Wananchi kujitambua,message kwa watawala wakandamizaji wa maamuzi ya wajumbeHii Bukoba ina nini ? Magufuli alitimuliwa , huyu naye katimuliwa !
Icho ndicho kinachowakosti mpaka leo jinsi walivyozalilishiwa sidhani kama watakuwa wamesahauKinachosikitisha ni... pale unapoamini tangopori ulilonalo mkono wananchi watalila kwa furaha!!! Hawa jamaa hawasomi alama za nyakati wakitaka kutumia uongo na mbinu zilezile....
Washasahau yaliyopita kwenye tetemeko...
Watanzania hawawezi kufanya maamuzi dhidi ya wasiokubalika?Acheni dharau kwa Watanzania.Hao watakuwa ni raia wa Burundi/Rwanda. [emoji3][emoji3][emoji3]
Hata Magufuli angekuwa anaulizwa mafanikio anayoimba kila siku kila mahali mbona hayaonekani baada ya miaka 5 anaomba miaka mingine 5 kumalizia miradi aliyoanzisha? Mafanikio yanapimwa baada ya Mradi kukamilika, kukabithiwa na kuanza kutoa huduma lakini mbona hata maendeleo ya utekelezaji hayaonekaniGenerally wamemuuliza unavyovisema umevifanya mbona hatuvioni.
Kuna mmoja kasema Karne ya 21 bado tunavuka mto Kwa kivuko na ameshindwa kujenga daraja!!
Mwingine kasema zahanati anayosema iko wap?
Hii Bukoba ina nini ? Magufuli alitimuliwa , huyu naye katimuliwa !
Sorry .
Ushawahi fika bukoba vijijin? Au unaongea Tu.
We unafikiri kiburi na dharau hiz zinatoka wap?
Mfano TuView attachment 1578899
Unajuwa Watanzania wengi hawajiamini katika maamuzi. Wangefahamu kuwa ujio wa Lissu ungeleta mabadiliko haya na hamasa kubwa hakika watu wengi makini zaidi wangejitokeza kugombea Ubunge na udiwani toka upinzani bila woga.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mamamamae kafukuzwa kama mbwa mwizi. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahaha aisee wananchi wameamua kuvaa ujasiri sasa. Hupati kura kama hakuna uliyofanya😁😁Generally wamemuuliza unavyovisema umevifanya mbona hatuvioni.
Kuna mmoja kasema Karne ya 21 bado tunavuka mto Kwa kivuko na ameshindwa kujenga daraja!!
Mwingine kasema zahanati anayosema iko wap?
Ukiishi huko lazima ujifunze hiyo lugha. Vijijini ndio kabisa, " sasa bishwaili bya nini bwana". Pamoja na hayo nawasifu sana hawa jamaa, wana misimamo isiyoyumba.Halafu ni kihaya tu
Simple: MWACHE AENDELEKA AGENDE ndio ina maana gani kwa kiswahili?