Kimalingano
JF-Expert Member
- Mar 27, 2023
- 709
- 919
Hayo lazima ni maambukizi ya GEN Z ya Kenya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii baada ya lissu kusambaza elimu ya uaia huko jimboni.Miaka michache ijayo watakaokua viongozi watakua na wakati mgumu sana kuongoza kama watataka kuongoza kwa mazoea na kujisahau.Watu wanazidi kujitambua kila siku uku viongozi wakiwa wamepigwa upofu hawaoni hayo mabadiliko.
Ndio unisaidie kushangaa!! Kwani hadi kiitwe chama ni sababu ya majengo au watu🙆🙆🙆Kuna chama kisicho na watu? Picha ya chama inapatikana kwa watu.
Kwa niaba ya wakaazi wa Kata za Ikungi, Dung’unyi, Kikio, Misughaa, Issuna, Mango’onyi, Ntutu, Mkiwa , Makiungu Mungaa pamoja na vitongovi vyote ikiwemo Unyanghumpi , Ulyampiti na Mkunguwakihendo
Kwani chama ni majengo! Chama ni watu.Chama Cha mapinduzi ni chama bora bali watu wake baadhi wao ni wabaya
Kwa niaba ya Wakazi wa Londoni, Sambaru, Kwa Yusuph , Banda Saba, Taru, Banda Mbili , Banda Tatu, Kinyamberu, Mighunga, Mang’onyi, CCM mnadani, Mlumbi, Mwau, Hanje, Mahambe, Matare, Ntewa na Mampando TUNAMTAMBUA MTATURU kama Mbunge wetu.Kwa niaba ya wakaazi wa Kata za Ikungi, Dung’unyi, Kikio, Misughaa, Issuna, Mango’onyi, Ntutu, Mkiwa , Makiungu Mungaa pamoja na vitongovi vyote ikiwemo Unyanghumpi , Ulyampiti na Mkunguwakihendo
HATUMTAMBUI HUYO MBUNGE
Hapo ni ulyampitia au samaka au mahambe au matare au issuna au mkiwa, au matongo, au unyaghumpi au Kwa ikungi..
Akaombe ubunge Dar wanakotanulia maishaWananchi wamemkataa Mbunge wa mchongo wa Jimbo la Singida Mashariki kwa Tundu Lissu.
View attachment 3063594