Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Ina wanachama wengi, lakini kubaki madarakani kwa shuruti inategemea mbeleko ya vyombo vya dola, na wahesabu kura.Watu inategemea na idadi, CCM Ina wanachama wengi kuliko vyama vingine vya siasa. Hiyo takwimu Iko wazi na unaweza kufuatilia.