Ina wanachama wengi, lakini kubaki madarakani kwa shuruti inategemea mbeleko ya vyombo vya dola, na wahesabu kura.Watu inategemea na idadi, CCM Ina wanachama wengi kuliko vyama vingine vya siasa. Hiyo takwimu Iko wazi na unaweza kufuatilia.
😂😂😂Wananchi wamemkataa Mbunge wa mchongo wa Jimbo la Singida Mashariki kwa Tundu Lissu.
View attachment 3063594
Sasa Hawa watatatuliwa shida na nani? Lisu au? 😆😆Wananchi wamemkataa Mbunge wa mchongo wa Jimbo la Singida Mashariki kwa Tundu Lissu.
View attachment 3063594
KwaniniKwa niaba ya wakaazi wa Kata za Ikungi, Dung’unyi, Kikio, Misughaa, Issuna, Mango’onyi, Ntutu, Mkiwa , Makiungu Mungaa pamoja na vitongovi vyote ikiwemo Unyanghumpi , Ulyampiti na Mkunguwakihendo
HATUMTAMBUI HUYO MBUNGE
Du watu mnawajua viongozi wenu na mnashika misemo yaoNa hili nalo mkalitazame
Laana inamtafunaWananchi wamemkataa Mbunge wa mchongo wa Jimbo la Singida Mashariki kwa Tundu Lissu.
View attachment 3063594
HaHaHaCcm walivyo hawana aibu wata itisha press waseme wananchi walikuwa wana mshangilia mbunge wao