Video: Misikiti na majengo yatiwa kiberiti Iran

Huwa nashangaa waafrika weusi tii wa madongokuinama, wanang'ang'ana dini ya kigeni isiyowahusu. Wazee wamejazana misikitini wakipoteza muda kumuabudu allah, ona sasa hukohuko iliko dini hiyo hawaitaki, alafu mwafrika anaipigania dini hiyo mfu wakati wenye dini yao hawaitaki
 
Mzungu anaumaliza uislam taratibu, miaka michache ijayo kutakuwa na uislam wa ajabu wa kula bata na kitimoto bila hofu, uislam chotara uliochanganyika na umagharibi mwingi. Peleka michuano ya kimataifa huko uislamuni, watafuata tu mila na desturi za kimagharibi. Miziki ya kimagharibi kupigwa uislamuni, sasa hapo kutakuwa na uislam msonge?
 
Kwamba Waislamu misimamo wajae Ulaya ili kwenda kuonja utamu wa mawazo nje na Dini?

Maana mtu Ukijifungia tu, unabaki na mawazo yale yale na misimamo ileile na huwezi kupata kipya, kifupi unakuwa mfungwa kama mfungwa

Wameruhusiwa kuingia Ulaya ili kuwa huru na kuwa sehemu ya vuguvugu wa uhuru kutoka mataifa ya Ulaya na America na ndiyo maana viongozi wa vuguvugu la mabadiriko wapo Ulaya na mataifa ya America huko
 
Uislamu ulishagawanyika zaidi ya miaka 1400 iliyopita. Hakuna mgawanyiko tena
 
Huku kwetu hayo siyo maandamano ni vurugu,wanatakiwa wabebe mabango na waseme wataanzia wapi na kuishia wapi!😁😁😁
 
Watu wamebumburika walidanganywa miaka kibao na ili wasishtuke waliambiwa marufuku kusoma tofauti na kitabu cha mwarabu Sasa hii Karne ya uwazi huwezi kumdanganya mtu. Mwiasho wa siku mwarabu pekee na waafrika wachache watabaki na hii dini ya bwana madevu
 
Islamophobes with little or selective reasoning as always
Muislam hawezi kuchoma msikiti, hao ni zionists wenye mpango wa kumrudisha kibaraka wao Shah kama walivyomueweka baba yake 1953 baada ya kuupindua utawala wa watu wengi wa Rais Mosadegh
Mnaotabiria Uislam kufutika mtafutika nyie duniani bila athari au legacy yoyote wakati uislam unaendelea kukua kutoka kila pembe ya dunia
Unaemsema mwafrika kufuata dini isiyomuhusu (eti ya mwarabu) wakati wewe unaabudu salam la mzungu!
Robo ya binadamu wote kwa sasa ni waislam, yaani kwa kila watu 4, 1 ni muislam, wa 3 wanaobaki ndio wakiristo, budhist, pagan, animist, atheist na wengineo
Empires come and go, Roman, Byzantine, Ottoman, Mughal, Tang, UK, zote zilitawala dunia lakini Uislam umeendelea kuwepo
Ukomunist ulikuwa na nguvu zaidi ya Ukatoliki na Uislam na hakuna aliyetabiri kufa kwa USSR lakini kwa yanayaondelea hata USA inaweza kuanguka pia kama wao wanavyochochra kuangusha nchi za wenzao
 
Dini ya kihuni na ya kuungaunga
 
Mkuu nipe elimu kidogo kuna tofauti ipi Kati ya huyo na yule anayesafiri maelfu ya kilomita kwenda kuzunguka na kushika kijumba cheusi kwenye mji ambao ameambiwa ni mtakatifu?
Ule msikiti siyo kijumba,na si mweusi yale mapazia tu
Kushika ni sisi wa mbali ndiyo hupenda kushika maana kwenda tena muhali
Pale hawauombi msikiti bali Mungu tofauti na hao wenye Sala ya maria na kusujudia sanamu
 
adriz Munch wa annabelle Makebo na Lucha baada ya kusoma hii comment chupi (siyo boxer) zao zimejaa vitobo vitobo vilivyoungua kwa mavi kugonga mfululizo kama cheche ya volcano.

NYAMBAFF!
 
Uso ni uchi 😁😁😁
 
Kumbe ni maandamano ya kidini? Kwamba wakimpindua Ayatollah basi nchi iwe ya kikatoliki? Haaahaaaa
Aisee
Hata mimi nashangaa hii michoko ya kigalatia iliyojaa kwenye huu uzi inavyoshangilia
Najua machoko wakisikia neno uislamu mikundu inapwita kwa uoga, wanajua ni kuchinjwa kama kuku
Sasa wanashangilia ujinga, mbona Sadam wa Iraq , Gadafi wa Libya , Ben ali wa Tunisia, Mubaraka wa Misri, wote wametolewa na bado mgalatia akitia pua huko anakatwa kichwa huko
 
Viongozi wa Iran waje wajifunze siri ya mafanikio kwa Samia jinsi ya kuzima maandamano!, au huko AK-47 na SMG hazipatikani kiwepesi!!?
Hata yeye asingetoboa, watu wa rangi nyingine wanaroho tofauti sana. Wao kufa kwenye jambo la kupigania haki kwao ndo jambo la juu kuliko vyote na wanaweza kulitafuta wafe hivyo.
Kwetu ni makondoo tu, Mwanamama hadi leo anajisifia kuwafyeka Oct 29 na kasema sahz Vijana hawana hamu ya kuingia barabarani kwa alivyowafyeka na walioona matukio live,picha na video hawana ham tena. Hapo watu wanasema wanamuachia Mungu wao adeal nae. Watu wa nchi hii ni tofauti na nchi nyingine ndo maana akisema walilipwa watu wanakubali maan baada ya ile siku hamna mtu katia mguu tena badala yake ni taharuki tu za maandamano ambayo kiukweli sidhani kama yatafanyika tena kwa roho nyepesi za watu wa nchi hii. Tutabaki kulilia miili ya wapendwa wetu tu.!
 
Wewe fyogo brain kwanza hata uneshawahi kuwa paspoti hata ya karatasi ukafika hata burundi
Halafu unaongelea nchi za ulaya, ulikuwepo?
Makanisa yanageuzwa misikiti huko ulaya na hiyo ni ya waturuki, wamisri, na wa algeria, na bado wewe nyani mgalatia ukienda huko kwao wanakukata kichwa
Mnajitia madole na kunusa mkidhani huyo ayatolah akitolewa basi wa irani wote wakuwa mashoga ya kigalatia
 
Hata sijui nianzie wapi na wewe Mkunya
Unashangilia utadhani papa wako aliekuruhusu kusikumiwa jiti la muhogo ndio atakuwa kiongozi wa irani wakimtoa ayatolah
Hata wakimtoa wewe nyani, bado watakula kichwa kama wagalatia wenzako walioshoboka Libya baada Gadaffi, wote wako huko kama watumwa na wanauzwa kila siku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…