Wewe mbulula wazungu gani uliowahi kuwaona zaidi ya wale wa makanisani kwenu wanaobaka watoto wadogo , unawajua wazungu gani unaowaongelea nchi zao kwa niaba yao,Kuna watu wanasema wazungu wamewaacha waislamu wakaingia ulaya wanafanya makosa makubwa, kumbe wenzetu wako miaka mia mbele kwenye kuwaza. Kinachofanyika ni kuwaonesha waislam how the world behaves na muda siyo mrefu uislamu utaingia kwenye phace ya tatu ya kugawanyika kitu ambacho ukristu ulikipitia miaka miatano nyuma na ndio maana hakuna tena crusade wars.
Wewe umefika huko ulaya kwao ukaona ni makanisa mangapi yamegeuzwa misikiti, leo hii ndio wanakurupuka na kuandamana wakati vitongoji kibao vimeliwa kichwa.