Video: Misikiti na majengo yatiwa kiberiti Iran

Video: Misikiti na majengo yatiwa kiberiti Iran

Sasa Ukristo kama sio dini ni nini ?
Ni imani
Ya kuamini maneno ya Kristo na kuyafanya kama alivyo tuamuru:
Mathayo 28:17
Nao walipomwona, walimsujudia; lakini baadhi yao waliona shaka.
18 Yesu akaja kwao, akasema nao, akawaambia, Nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani.
19 Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu;
20 na kuwafundisha kuyashika yote niliyowaamuru ninyi; na tazama, mimi nipo pamoja nanyi siku zote, hata ukamilifu wa dahari.

Uislamu ndio Dini
 
Hivyo vitu ulivyo tajwa hapo kuwa vinapigwa vita , haihitaji uwe na dini ili kuweza kutambua kwamba havifai , hata hivyo ni kwamba huo uislam pia unaonekana pia umelegea na hauna mashiko , Qatar kombe la Dunia watu walikuwa wanapiga gambe kama kawaida , mwarabu mwenyewe ameshaichoka dini mpaka wanaandaa mashindano ya world cup ambayo ndani yake Yana laana kibao wewe ambaye umeletewa hiyo dini Huku bara la Giza still unakaza fuvu


Dini zote ni utapeli ni mifumo iliyo undwa maalum kwaajili ya kumtawala binaadamu kiakili ili aweze kutawalika kirahisi , nothing much
Ukristo siyo utapeli bali ni njia ya kweli ya kumfikia MWENYEZI MUNGU

KRISTO YESU ni ufufuo na uzima
 
Kumbe ni maandamano ya kidini? Kwamba wakimpindua Ayatollah basi nchi iwe ya kikatoliki? Haaahaaaa
Jamaa umeanza lini kuwa mjinga

Kwahiyo mtu akiwa hamtaki ayatollah basi anataka kuwa mkatoliki?

Walikwambia kwamba wao wanaandama ili wawe wakatoliki?

Kwahiyo mtu yeyote ambaye hataki uislam basi anataka kuwa mkatoliki?
 
Huwa nashangaa waafrika weusi tii wa madongokuinama, wanang'ang'ana dini ya kigeni isiyowahusu. Wazee wamejazana misikitini wakipoteza muda kumuabudu allah, ona sasa hukohuko iliko dini hiyo hawaitaki, alafu mwafrika anaipigania dini hiyo mfu wakati wenye dini yao hawaitaki

ndio maana nasema islamophobes wa jf hamna reasoning au selective reasoning kama mnayo hata kidogo
Kuna sehemu mnalalamika waislam "wanaiharibu Ulaya" Islamization of Europe, kwengine mnajisfu Uislam unakufa, which is which?
Uislam siyo uarabu, hao waarabu walioishi na Muhammad ndio walikuwa wa kwana kuuping na wakataka kumuua yeye na familia yake mpaka alipopewa amri ya Allah kutoka Makkah kwenda Madina, na hapo walikuwa hata 100 hawafiki, sembuse leo kuna 2.5 billion followers!
Allah aliahidi dini yake itasimama(Surat Nasr 110, 1-3)
Kuna watu kina Pope Constantine na wengineo wenye majeshi na maguvu yote duniani walileta Crusade kuufuta leo wapo 6ft under the earth, Tupac anasema relocated to the cemeteries!
Wewe keyboard warrior, mkimbizi wa kijaluo utaweza kufanya nini zaidi ya kashfa, eti kobaz!
Moses alipoambiwa avue viatu aongee na mola wake alikuwa amevaa buti? Brian Deacon alivaa sneakers au mocassin!
Mtafutika wote na vizazi vyenu hata mchome msikiti na misahafu ya Quran yote iliyopo duniani, Uislam upo vifuani mwa watu, kitabu hicho hicho ukikusanya tena watu 10 kinaandikwa kama kilivyo, bila version yoyote kama waraka wenu ulivyo


Mafundisho kuhusu laana ya kibiblia ya Kaini na laana ya Hamu katika Kanisa la Yesu Kristo la Watakatifu wa Siku za Mwisho

Wote wawili, mwanzilishi wa kanisa Joseph Smith na mrithi wake Brigham Young, walifundisha kwamba watu Weusi walikuwa chini ya laana ya Hamu, na laana ya Kaini.

Smith na Young wote wawili walitaja laana hizo kama sababu ya utumwa.

Pia walifundisha kwamba ngozi nyeusi iliwaashiria watu wa asili ya Kiafrika kuwa wamelaaniwa na Mungu.


Katika marekebisho ya Joseph Smith ya Biblia ya King James, na katika utayarishaji wa Kitabu cha Ibrahimu, alifuatilia hali hiyo ya kulaaniwa hadi kwenye laana zilizowekwa juu ya Kaini na Hamu, na akaunganisha laana hizo mbili kwa kuwasilisha wazao wa Kaanani wa Hamu kama wazao wa Kaini kupitia ukoo wa upande wa mama
 
Waislamu wengi ni wajinga wajinga na hawako civilized

Mafundisho kuhusu laana ya kibiblia ya Kaini na laana ya Hamu katika Kanisa la Yesu Kristo la Watakatifu wa Siku za Mwisho

Wote wawili, mwanzilishi wa kanisa Joseph Smith na mrithi wake Brigham Young, walifundisha kwamba watu Weusi walikuwa chini ya laana ya Hamu, na laana ya Kaini.

Smith na Young wote wawili walitaja laana hizo kama sababu ya utumwa.

Pia walifundisha kwamba ngozi nyeusi iliwaashiria watu wa asili ya Kiafrika kuwa wamelaaniwa na Mungu.


Katika marekebisho ya Joseph Smith ya Biblia ya King James, na katika utayarishaji wa Kitabu cha Ibrahimu, alifuatilia hali hiyo ya kulaaniwa hadi kwenye laana zilizowekwa juu ya Kaini na Hamu, na akaunganisha laana hizo mbili kwa kuwasilisha wazao wa Kaanani wa Hamu kama wazao wa Kaini kupitia ukoo wa upande wa mama
 
Jamaa umeanza lini kuwa mjinga

Kwahiyo mtu akiwa hamtaki ayatollah basi anataka kuwa mkatoliki?

Walikwambia kwamba wao wanaandama ili wawe wakatoliki?

Kwahiyo mtu yeyote ambaye hataki uislam basi anataka kuwa mkatoliki?
Kama ungekua makini ungesoma hiyo quote ya jamaa kasema IRAN WAMEANDAMANA KUPINGA DINI YA WAARABU..... sasa kwanini usimueleweshe huyo kil.aza kwanza ndio uje uniite mjinga
 
Nani nimemnasibisha na dini? Nionyeshe popote pale?

Huyo alisema hawataki uislam ndio maana nikamjibu kwa angle ya dini ila huu mgogoro ni wa kisiasa sasa nchi ambayo ni ya kiislam inaandamana kupinga uislam ndio nini sasa?
unafanya hila kutojibu swali langu ama hutaki kujibu kwasababu uelewi nilichokuuliza?.
fanya hivi; nipuuze mimi ila umjibu huyo member mwingine aliyekuuliza swali synonymous nililokuuliza.
 
Misikiti 25 imeenda na moto

Wairan wamepata wapi Starlink dishes haijulikani
Vifo vingi
 
Kuna watu wanasema wazungu wamewaacha waislamu wakaingia ulaya wanafanya makosa makubwa, kumbe wenzetu wako miaka mia mbele kwenye kuwaza. Kinachofanyika ni kuwaonesha waislam how the world behaves na muda siyo mrefu uislamu utaingia kwenye phace ya tatu ya kugawanyika kitu ambacho ukristu ulikipitia miaka miatano nyuma na ndio maana hakuna tena crusade wars.
Tunajidanganya, angalia dynamics ukristo unapungua sana na wengi wanakua atheists or Muslims alafu unasema ni trick? Umewahi oma muislam anenda ujerumani alafu akawa assimilated? Wao ndio hutaka sera na sheria zibadilike kuwa favor wao!! Sasa watabadilikaje?
 
Raia wa Iran wamamua liwalo na liwe, hawataki kuongozwa na dini ya muarabu.... Wanataka uhuru.
Kawaida Waajemi, yaani Persians huwa watu wenye akili sana, ukisoma historia yao kabla dini ya muarabu walikua wanafanya mengi makubwa, ile dini imewadumaza sana.


============

Watch: Buildings in Tehran set on fire as demonstrations spread across Iran​

Footage verified by BBC Persian shows buildings on fire in the Iranian capital, Tehran, as anti-government protests spread across the country.

Video from the the 12th consecutive day of national unrest shows mosques in the Gholhak and Sa'adat Abad neighbourhoods of Tehran on fire.

Frustration over the collapse of Iran's currency has triggered demonstrations in more than 100 cities and towns across all 31 of Iran's provinces, according to human rights groups.
Ma Mullahs this time hawachomoi. Hilo ni fundisho kwa waislamu kuwa Quran haipaswi kuingizwa kwenye Serikali na pia umefika wakati wajue kuwa kuikamia Kuifutilia mbali Israel kama walivyokuwa wamekamia Ma Mullahs wa Iran, matokeo yake ni kujiangamiza wenyewe. Hezibullah gone, Hamas gone, Assad gone, mshirika muhimu sana Maduro gone and now it's the turn of Ayatollah and his cronies the Mullahs
 
Misikiti 25 imeenda na moto

Wairan wamepata wapi Starlink dishes haijulikani
Vifo vingi
Mpango wa kuingiza Starlink na Bendera za zamani za Irani ni mpango wa muda mrefu sana.

Waandamanaji wa Iran ni wanaandamana kijeshi.

Wao wanatoka usiku na wakitoka Usiku wanachoma ofisi za IRGC na kuweka vifusi na kuharibu njia zinazoenda airport.

They are very strategic
 
Upuzi sana tu, hebu ona jamaa anacharazwa viboko kwa kula mchana kipindi cha ramadhani, yaani mtu hauamini katika dini yao hiyo, hufuati hayo mavitu, unaishi maisha yako, Mwafrika mwenzako anakuja anakucharaza viboko kwa kula chakula chako mwenyewe eti kisa aliamurishwa na muarabu alazimishe watu.


View: https://www.youtube.com/watch?v=ilstHQLJghQ
TAKBIRRRRR! Hahahahahhhh! Yaani ni shida tu mwanawane! Hahahhhahaha!
 
Back
Top Bottom