Video: Misikiti na majengo yatiwa kiberiti Iran

Video: Misikiti na majengo yatiwa kiberiti Iran

Nyie mnawaza Wakatoriki tu:
Mnafikiri Ukristo ni Kanisa Katoriki pekee:

Ukristo sio Dini:
Ni kuyasikia Maneno ya Yesu Kristo na kuyatekeleza kama alivyo agiza:

Mathayo 28:18
"Yesu akaja kwao, akasema nao, akawaambia, Nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani.
19 Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu;
20 na kuwafundisha kuyashika yote niliyowaamuru ninyi; na tazama, mimi nipo pamoja nanyi siku zote, hata ukamilifu wa dahari."

Warumi 10:17
Basi imani, chanzo chake ni kusikia; na kusikia huja kwa neno la Kristo.

Umeelewa yaa Amanu?

KWA HIYO BIKIRA MARIA NI MAMA WA MUNGU AU SIYO MAMA.WA MUNGU WE MUIMBA KWAYA??
 
HAKIKA MAKAFIRI NI WATU AMBAO HAWANA AKILI KABISA
Haya wewe mwenye akili. Je hapo Allah akijamba maamaee 😆 😂 😆

Screenshot_20251226_161853_Gallery.jpg


adriz de mbusii
 
Mnataka wote tuwe Waislamu ili tupate nini?
Tutafaidika nini tukiwa Waislamu?
 
Binafsi nauchukia sana uislamu,yaani hawa watu wangezingatia elimu dunia wangekuwa mbali sana.


Walitaka kunitoa roho eti kisa nimevaa kanzu na kikofia cha duara ilikuwa mfungo wa Ramadan,sasa nikawa nakula kumbe eti ni kosa nautukanisha uislamu.


Dini ya kijinga sana hii,ni Bora uwe mpagani mara 1000 kuliko kuwa muislamu
Kwahiyo wewe hata Yesu unamchukia? Hau haujui kuwa Yesu ni Muislam?
 
Upuzi sana tu, hebu ona jamaa anacharazwa viboko kwa kula mchana kipindi cha ramadhani, yaani mtu hauamini katika dini yao hiyo, hufuati hayo mavitu, unaishi maisha yako, Mwafrika mwenzako anakuja anakucharaza viboko kwa kula chakula chako mwenyewe eti kisa aliamurishwa na muarabu alazimishe watu.


View: https://www.youtube.com/watch?v=ilstHQLJghQ

Wapumbavu sana! Mungu angetaka kulazimisha jambo lake fulani, kitu gani kingemshinda?
 
uliye na shaka kuwa Matayo sio Author wa Injeel unayoijadili ndiyo uweke ushahidi,sio mimi,mimi sina shaka..mwenye shaka ndiyo weka ushahidi/shaka yako tuipime.
Hapa kuna vitu viwili, mimi sidai bali Mimi nimeluuliza unipe majibu. Kama huna jibu la swali nililo kuuliza huna haki ya kuendelea kuamini jambo ambalo huna elimu nalo.

Sasa Mimi nimeijadili wapi wakati nimeuliza swali ambalo unatakiwa ujibu kwa ushahidi au ushahidi kwenu nyinyi hauna nafasi ?
alafu unayumba sana chief...Mwanzo uliiza ni"WAPI" kwa maana ya "Eneo" sio "Nani" (kwa maana ya Mtu"k
kutokuwa na akili kisiwe kigezo cha kusumbua wengine
Nayumba kuuliza maswali ya kiuchunguzi au ?

Ambapo swali la mwanzo hujaliwekea ushahidi nikauliza tena swali la pili. Shida Iko kwenye mimi kuuliza maswali mawili au ?

Sasa kama huna majibu maswali niliyo kuuliza huna haki ya kujadili hii mada.
 
Ni imani
Ya kuamini maneno ya Kristo na kuyafanya kama alivyo tuamuru:
Mathayo 28:17
Nao walipomwona, walimsujudia; lakini baadhi yao waliona shaka.
18 Yesu akaja kwao, akasema nao, akawaambia, Nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani.
19 Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu;
20 na kuwafundisha kuyashika yote niliyowaamuru ninyi; na tazama, mimi nipo pamoja nanyi siku zote, hata ukamilifu wa dahari.

Uislamu ndio Dini
Wewe Kila siku huwa ni kilaza aisee, yaani kivitendo Ukristo ni dini na unathibitisha hivyo lakini kimaana unakanusha. Huna akili wewe.

Unaposema ni Imani na mnafata kama kama mlivyo amriwa maana yake huo ni muongozo na ndio dini.

Sasa usiwe mjinga kukanusha jambo ambalo huna elimu nalo, ungekuwa unajua maana ya Dini usingepinga ya kuwa Ukristo sio dini.

Wakristo vilaza sana, yaani hamjui hata mnachokiishi ni dini, mnashupaza mishipa ya shingo kwamba sio dini bali ni Imani wakati dini ni Imani.

Kingine usiwe unaniandikia vifungu ambavyo kwangu vinahitaji uvithibitishe ili uwe na vigezo vya kuvinukuu.

Nani aliandika Injili ya Matayo ?
 
Sadists wa dini wote Mimi nawachukia,ulevi wa dini ambao unafikia hadi kuua au kutengana na binadamu mwenzio kisa dini kwangu ni adui.


Ndo maana nikasema Bora upagani kuliko uislamu mara 1000
Kwahiyo wewe hata Yesu unamchukia? Hau haujui kuwa Yesu ni Muislam?
 
Wewe Kila siku huwa ni kilaza aisee, yaani kivitendo Ukristo ni dini na unathibitisha hivyo lakini kimaana unakanusha. Huna akili wewe.

Unaposema ni Imani na mnafata kama kama mlivyo amriwa maana yake huo ni muongozo na ndio dini.

Sasa usiwe mjinga kukanusha jambo ambalo huna elimu nalo, ungekuwa unajua maana ya Dini usingepinga ya kuwa Ukristo sio dini.

Wakristo vilaza sana, yaani hamjui hata mnachokiishi ni dini, mnashupaza mishipa ya shingo kwamba sio dini bali ni Imani wakati dini ni Imani.

Kingine usiwe unaniandikia vifungu ambavyo kwangu vinahitaji uvithibitishe ili uwe na vigezo vya kuvinukuu.

Nani aliandika Injili ya Matayo ?
Mwulize Matayo mwenyewe
 
USA haitakuja kuanguka kwa sababu mfumo wa maisha wanaoishi uko kiasili ya kibinadamu zaidi. Wamarekani wako tofauti na mifumo ya maisha ya kutengeneza. USSR ilianguka kwa sababu mfumo wao wa maisha ulibuniwa (ukomumisti) na kuwalazimisha watu waishi hivyo. Nchi za kiislamu zenye misimamo mikali kama Iran zitaanguka tu kwa sababu wanalazimisha watu kuishi maisha nje ya asili ya binadamu. Kutompa uhuru binadamu kwa sababu za kufikirika ni ngumu sana kulinda mfumo wa aina hiyo. Demokrasia ndio mfumo ambao unashabihiana na maisha ya asili ya viumbe wote wa mungu akiwemo binadamu.
 
Huyu Mama ambiwe ukweli na watu wake wa karibu, jamii imemtenga haimtaki kabisa,kila anachokifanya yeye au washirika wake kinabuma.

Na kila anayemtete mbele ya jamii anaonekana ni adui na msariti.
Sijawahi kuona kiongozi aliyekataliwa na jamii kama huyu

Angalia ishu ya Waziri wa mambo ya ndani aliyetenguliwa kila mtu kasimama naye sababu ya kupenda haki dhidi ya dhuruma ya mama Samia, tuzidishe maombi karibuni Mungu ataamua kama alivyofanya kwa madhalimu wote waliokuwepo kabla yetu kama Farao
Mbinu mpya Wajumbe, wenyeviti wa mitaa,Machawa familia,mali na nyumba zao pigeni moto 🔥 choma piga moto tembea na kuchoma kila kitu 🔥🔥🔥🚶
 
Back
Top Bottom