Video: Misikiti na majengo yatiwa kiberiti Iran

Video: Misikiti na majengo yatiwa kiberiti Iran

Mswalie Mtume wewe MK254
Utaambiwa unakufuru
NA KWELI MNAKUFURU

WEWE MNAFIKIA HATUA MNASEMA BIKIRA MARIA MAMA WA MUNGU TUNAOMBA UTUOMBEE...YANI MUNGU AWE NA MAMA TENA??

THEN MNAACHA KUMUOMBA MUNGU DIRECT MNAKULA KONA MNAENDA KWA MAMA YAKE AWAOMBEE KWA MTOTO WAKE..MNAJUA NYINYI NI HAMNAZO SANA??MNAJUA HILO
 
SAUD ARABIA STILL LOADING, NAPATA MASHAKA HAWA WAKINA JENIFER LOPEZ KWENDA KUPIGA SHOW KULE NA WATU WANABANG HASWA, ITAFIKIA HATUA WATAONA KHHAAAA DINI NI MZIGO, SAUD ARABIA ILITAKIWA IBAKI HIVO HIVO HATA MAMPIRA TU HAYAKUPASWA PALE
Mohamed salmin anaona uchumi wa utalii wa kupitia dini unalichelewesha Taifa kukukua Kwa kasi , so ndio maana anafanya jitihada zote kuifanya Saudi Arabia kuwa Taifa ambalo sio la kidini tena Kwa kuwapeleka mastar mbali mbali kwaajili ya kuwa influence watu wabadilishe tamaduni

Wajua hata hiyo culture ya kwenda kuhij ni mastar pia waliotumika kuipromo na kuifanya iwe famous sana na ni Mikataba hiyo ya USA na Saudi baada ya wasaudi kumpatia wese USA Waka kubaliana kwamba Ataipromot culture ya kuhij iweze kuwa famous, ndio maana mpaka kina Michael Jackson walikuwa Wana tumika kwenda kuipa fame hijja ya Saudi , Nothing much

Mnatakiwa muwe mnajiuliza kama Makkah na hijja (Tambiko ) wanalo lifanya ni hijja kweli ya mungu Kwanini misikiti Yao yenye inalindwa na askari wa USA wakati USA inajulikana kuwa ni Taifa la kishetani ( Baadhi ya hao hao waislam ndio huamini hivyo )

So inakuwaje misikiti ya mungu inalindwa na shetani !?
 
Wakristo hata kukuzika hawakuziki ukibadili dini

Hakuna dini inachuki za wazi wazi kama ukristo...najua hata moyoni.mwako unakiri kuwa una.chuki na uislam.na waislam.bila.hata sababu ya msingi...
Dini zote ni changamoto, Dini ni scummer,

Dini ni sera tu ya mfumo wa siasa za kale kwaajili ya kulinda utamaduni wa Race za watu wa mataifa Fulani Kisha zikapakwa rangi na tukaambiwa kuwa ni dini za mungu wakati sio kweli ,
 
Dini ziko nyingi duniani

Siyo uislam na ukristo pekee ziko.dini nyingi.

Dini pekee duniani inayopinga wazi wazi vitu kama zinaa,kamari,riba,ulevi,ushirikina,rushwa,dhulma,na kadhalika ni uislam

Na ndiyo maana unaona lazima ipigwe vita kuhakikisha haisimami sshemu yoyote duniani
 
Hivyo vitu ulivyo tajwa hapo kuwa vinapigwa vita , haihitaji uwe na dini ili kuweza kutambua kwamba havifai , hata hivyo ni kwamba huo uislam pia unaonekana pia umelegea na hauna mashiko , Qatar kombe la Dunia watu walikuwa wanapiga gambe kama kawaida , mwarabu mwenyewe ameshaichoka dini mpaka wanaandaa mashindano ya world cup ambayo ndani yake Yana laana kibao wewe ambaye umeletewa hiyo dini Huku bara la Giza still unakaza fuvu

Dini zote ni utapeli ni mifumo iliyo undwa maalum kwaajili ya kumtawala binaadamu kiakili ili aweze kutawalika kirahisi , nothing much
 
WENZETU DINI YENU NI NZURI NA INAENDA NA WAKATI

NA NDIYO MAANA HUWEZI KUSHANGAA SASA HATA VIFUNGU MNABADILISHA NA KUFUNGISHA NDOA ZA JINSIA MOJA

NA HUWEZI SHANGAA KUONA MNAVAA VIMINI NA NUSU UCHI KISHA MNAENDA KWENYE IBADA

HUWEZI SHANGAA UNAINGIA CHURCH NA MCHEPUKO WAKO PAMOJA SIYO SHIDA ZENU,YAANI USIKU MMETOKA KUZINI ASBH MNAAMKA ZENU HAAOOO KWENDA KUTUBU NA MKIWA NA HANH OVER ZA ULEVI SIYO SHIDA ZENU

KWETU SISI DINI NI KIFUNGO KWELI...KWETU HUTAKIWI KULA RUSHWA,RIBA,KAMARI,ULEVI,ZINAA,WIZI,USHIRIKINA,KUUA NA KADHALIKA...WEWE KAFIRI UTAWEZA WAPI MAISHA KAMA HAYA.

NYINYI MNA DINI YENU NA SISI TUNA DINI YETU
Ukristo sio Dini ndugu yangu katika imani:
Dini ni Uislamu, ndio maana mmeambiwa mtu akihama katika mila za Kiislamu lazima Auliwe:
 
NA KWELI MNAKUFURU

WEWE MNAFIKIA HATUA MNASEMA BIKIRA MARIA MAMA WA MUNGU TUNAOMBA UTUOMBEE...YANI MUNGU AWE NA MAMA TENA??

THEN MNAACHA KUMUOMBA MUNGU DIRECT MNAKULA KONA MNAENDA KWA MAMA YAKE AWAOMBEE KWA MTOTO WAKE..MNAJUA NYINYI NI HAMNAZO SANA??MNAJUA HILO
Nyie mnawaza Wakatoriki tu:
Mnafikiri Ukristo ni Kanisa Katoriki pekee:

Ukristo sio Dini:
Ni kuyasikia Maneno ya Yesu Kristo na kuyatekeleza kama alivyo agiza:

Mathayo 28:18
"Yesu akaja kwao, akasema nao, akawaambia, Nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani.
19 Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu;
20 na kuwafundisha kuyashika yote niliyowaamuru ninyi; na tazama, mimi nipo pamoja nanyi siku zote, hata ukamilifu wa dahari."

Warumi 10:17
Basi imani, chanzo chake ni kusikia; na kusikia huja kwa neno la Kristo.

Umeelewa yaa Amanu?
 
Kuna watu wanasema wazungu wamewaacha waislamu wakaingia ulaya wanafanya makosa makubwa, kumbe wenzetu wako miaka mia mbele kwenye kuwaza. Kinachofanyika ni kuwaonesha waislam how the world behaves na muda siyo mrefu uislamu utaingia kwenye phace ya tatu ya kugawanyika kitu ambacho ukristu ulikipitia miaka miatano nyuma na ndio maana hakuna tena crusade wars.
Mwamba umeona mbali sana:
Na ndio Ukweli:
 
Comment niliyo quote inasema
"hawataki kuongozwa na dini ya muarabu.... Wanataka uhuru"

Sasa ndio nauliza kwani maandamano ni kupinga uislam?

Meaning kama hawataki uislam does it mean wanataka dini nyingine which is Catholic as the biggest non-muslim denomination
Kwa mantiki ipi;"Ukikataa ukristo maana yake unataka uislam?".
kwamba,nikisema sitaki Wali maana yake ninataka Ugadi?.
kwanini iwe ugali na sio ndizi ama Pizza Pie?.
Wewe jamaa Jau sana Aisee.
 
Inanibana nini by the way? I'm not a coward and I've never been. Mimi ni mkristo lakini sipendi kila kitu kuwekwa kwenye angle ya udini. Kuna tatizo humu la watu wakiwa Pro USA/Israel basi automatically wanaonekana wakristo na sie tulio Pro Iran/Palestine basi tunaonekana waislam.
upendi U-dini wakati kila anae furahia kinachotoke Iran unamnasibisha na Udini..usikute we ni yule sheikh alitishia kukata watu vichwa kwasababu wanampinga Samia ambaye ni muislam.
 
Ukristo sio Dini:
Ni kuyasikia Maneno ya Yesu Kristo na kuyatekeleza kama alivyo agiza:
Hayo maneno yenyewe ya Yesu hayapo, mnayasikia vipi ? Si muwe na akili hata kidogo Wakristo ?
Mathayo 28:18
"Yesu akaja kwao, akasema nao, akawaambia, Nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani.
19 Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu;
20 na kuwafundisha kuyashika yote niliyowaamuru ninyi; na tazama, mimi nipo pamoja nanyi siku zote, hata ukamilifu wa dahari."

Huyu anaye mnukuu Yesu alimuona wapi ?
 
Weka ushahidi hapa, hatupigi story za vijiweni.

Nani aliandika Injili ya Matayo ?
uliye na shaka kuwa Matayo sio Author wa Injeel unayoijadili ndiyo uweke ushahidi,sio mimi,mimi sina shaka..mwenye shaka ndiyo weka ushahidi/shaka yako tuipime.

alafu unayumba sana chief...Mwanzo uliiza ni"WAPI" kwa maana ya "Eneo" sio "Nani" (kwa maana ya Mtu"k
kutokuwa na akili kisiwe kigezo cha kusumbua wengine
 
upendi U-dini wakati kila anae furahia kinachotoke Iran unamnasibisha na Udini..usikute we ni yule sheikh alitishia kukata watu vichwa kwasababu wanampinga Samia ambaye ni muislam.
Nani nimemnasibisha na dini? Nionyeshe popote pale?

Huyo alisema hawataki uislam ndio maana nikamjibu kwa angle ya dini ila huu mgogoro ni wa kisiasa sasa nchi ambayo ni ya kiislam inaandamana kupinga uislam ndio nini sasa?
 
Back
Top Bottom