Video: Mkuu wa Majeshi Mstaafu Tanzania, Jenerali Mabeyo aonekana akiwa na Papa Francis

Bila shaka alikupitia katika kukuongezea Sukari na U
Hongera Jenerali Mstaafu Mabeyo, Lifestyle yako na maisha yako kiujumla ni mfano bora katika jamii, Mchango wako kwa taifa,jamii na kanisa, matoleo yako kwa Mungu wako hakika yataenziwa na kukumbukwa daima 🙏 Mungu akubariki.
Nga
 
sasa unamsifiaje mtu aliyekuwa CDF na kuripoti kwa shetani ambaye ndio bosi aka amiri jeshi mkuu na ndio mtoa amri kwake.

Kifupi CDF alikuwa anapokea amri kutoka kwa shetani na kuzitii.

MchaMungu CDF alikuwa akipokea amri za shetani na kuzitii.
Humuelewi Mabeyo, kaa kimya usome tu siyo lazima u comment
 
CDF mstaafu General Venance Mabeyo ameonekana ktk video clip iliyosambaa mitandaoni toka juzi aliwa Kanisa la Mt Petro akishiriki shuguli kadhaa za Kikanisa Nchini Vatican.

Pamoja naye anaonekana na baadhi ya Maaskofu kutoka Tanzania na masister

Haijafahamika zaidi ni shughuli gani lakini tunaona ni Fursa adhimu kuonana na miamba hiyo.

View attachment 2631295
Msichokijua na poleni pia kwa Kutojua kwamba hata wakati Mabeyo akiwa bado ni CDF wa JWTZ alikuwa na Cheo cha Mkuu wa Jumuiya zote za Kikatoliki nchini Tanzania na aliteuliwa na Pontiff ( Papa ) huyo huyo ila huenda hakutaka tu iwekwe wazi.

CDF Mstaafu Gen. Mabeyo ni Mtu wa Imani mno na analipenda mno Kanisa lake Takatifu la Katoliki ndiyo maana hata 75% ya Ujenzi wa sasa wa Kanisa Jipya la Kawe ( St. Michael ) unatokana na Mchango wake Binafsi ambapo alishatoa Tsh Milioni 400 Yeye kama Yeye na ameahidi Kuichangia zingine kama hiyo au zaidi.

Kila Jumapili za Ibada hapo Kanisani St. Michael Kawe Mapadre wakimuona tu CDF Mstaafu Gen. Mabeyo anahudhuria Ibada yake pendwa ya Pili hukenua Meno yao 32 yote Nje kwani wanajua Yeye Sadaka yake hutoa Tsh Milioni 3 huku Mkewe akitoa Tsh Milioni 1 hivyo kuwa na uhakika wa Tsh Milioni 4 na Maisha yanaendelea.

Naomba niishie hapa na sitaki Maswali.
 
Wanampendea sadaka?? Hizi pesa hizi🤣🤣
 
Roho inakuuma kuona CDF mstaafu akijitolea kwenye ujenzi wa Kanisa! Wewe hela zako unatumia kuwalaghai wamama wanaocheza vicoba. Hovho kabisa wewe. Umeandika kwa hisia, as if huyo CDF anachokifanya ni kosa kisheria.

Ndiyo maana yule muuza mihogo maarufu hapo sokoni Kawe, ndugu Cherehani aliamua kuondoka na sikio + kidole.
 
Mimba niliyokupa na Ukaitoa bado haijakufanya ujifunze, uwe na Akili na uache huu Upumbavu?
 
Back
Top Bottom