The Palm Beach
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 4,249
- 11,592
😹😹😹Yuko tayari kwa lolote kivipi, mbona alikua chimbo kipindi kile?
Wazee hawa Waarabu tuwachie Nchi tukimbie aisee ,😂😂
View: https://youtu.be/lU8LRvYsH04?si=XYv2S3YsrTVi-8Z2Anasema:
1. Mungu amempa na kuiweka Tanzania yote mikononi mwake. Yeye ndiye Musa wa leo..
2. Wanaopanga kumuua au kumteka, kabla hawajamfikia watakuwa wamekufa wao. Hafi Leo wala kesho...
3. Wa kumteka au kumuua hayupo, hajazaliwa na hatazaliwa milele...!
Jasusi la Mbinguni.

Kuwa tayari kwa lolote kunamaanisha ukasimame mbele ya mitutu ya bunduki?Yuko tayari kwa lolote kivipi, mbona alikua chimbo kipindi kile?
MFano huo ni mkali sana,Kusa tayari kwa lolote kunamaanisha ukasimame mbele ya mitutu ya bunduki?
Sijawahi kukuelewa msimo wako walahWazee hawa Waarabu tuwachie Nchi tukimbie aisee ,😂😂
Bendera zinaenda kupepea nusu mlingotiKila aliye chochea atafikiwa kwa muda wake
USSR
Nyie wenye "elimu mbalimbali" mnachojua ni kutunga kesi uchwara za uhaini, ugaidi, kuteka na kupoteza na kufira.Kila aliye chochea atafikiwa kwa muda wake
USSR
mhamie burundiSamuya katuharibia sana Tanganyika yetu