Video: Moja ya shule zilizojengwa kwa tozo, foreign reserve trilioni 1.3 na pesa za UVIKO

Hapo kwa vyovyote vile kutakuwa na uviko-19.
 
Tra imeshindwa kukusanya kodi mpaka tunachota fedha kwenye foreign reserve??

Waziri anaendelea kufanya nini ofisini??

Kwanini Baraza la Mawaziri lisivunjwe kwa kushindwa kumshauri Rais vizuri??
 
Mama anampenda waziri wa pesa
 
Hii awamu ikiisha watu watashika vichwa, maana patakuwa na upigaji mkubwa sana
 
Back
Top Bottom