Video: Moja ya shule zilizojengwa kwa tozo, foreign reserve trilioni 1.3 na pesa za UVIKO

Video: Moja ya shule zilizojengwa kwa tozo, foreign reserve trilioni 1.3 na pesa za UVIKO

Hata yeye alikuwa mwizi tu.
Ccm karibu wote ni hewa tu
Hewa zipo zenye faida. Bora hata Magu alikuwa oxygen kuliko hawa ni co2, yaani wanaharibu hadi mapafu!
Sifa nyiingi, uozo kila mahali!
 
Hii awamu ikiisha watu watashika vichwa, maana patakuwa na upigaji mkubwa sana

Kuwa part ya wapigaji usisubiri kusimuliwa kila siku watu wamepiga.

Mimi huwa siumii kusikia kuna upigaji umetokea huwa naumia kwanini sio mimi.
 
Wizi mtupu, nchi hii aliweza tu Magufuli,wizi umerudi kwa kasi

USSR
Acheni hizo,eti aliuweza jiwe,zile ripoti za CAG mbona kila mwaka zilikuwa zikionyesha upigaji tu?!!alichofanikiwa ni kuufichq tu usiwekwe wazi.Ngoja ripoti hiyo ya zile pesa za watuhumiwa wa uhujumu uchumi itoke mwezi ujao ndipo utajua kuwa toka tupate uhuru hakuna kipindi pesa imeibiwa kama kwenye awamu yake.MUNGU FUNDI
 
Na hii ni 2023!

Nchi hii imepata uhuru wake tokea 1961.

Tunao mawaziri wapo kwenye magari ya viyoyozi yenye thamani karibu na bilioni moja, hela ya madafu!

Kinachosikitisha zaidi ni kwamba sio kama nchi hii haina uwezo wa kuwapatia hawa watoto mazingira mazuri ya kujifunzia, kwa sababu uwezo huo upo sana!

Tunao viongozi wa hovyo sana nchi hii.
 
Na hii ni 2023!

Nchi hii imepata uhuru wake tokea 1961.

Tunao mawaziri wapo kwenye magari ya viyoyozi yenye thamani karibu na bilioni moja, hela ya madafu!

Kinachosikitisha zaidi ni kwamba sio kama nchi hii haina uwezo wa kuwapatia hawa watoto mazingira mazuri ya kujifunzia, kwa sababu uwezo huo upo sana!

Tunao viongozi wa hovyo sana nchi hii.
Mwigulu?
 
Hivi hiyo mijitu serikalini haioni huruma jamani!
Hakika malipo ni hapa hapa walahi!
Na wao Mwenye Enzi Mungu iko siku atawakalisha chini walahi [emoji35]
 
Duh...!.
P
That's it!I knew that's all you had to say.Ingekuwa ni Uzi unahusu Tundu Lissu au ukomo wa uongozi Chadema ungekuja na Maelezo mareeeeefu, page kadhaa,viapo kibao kuwa huo ndio ukweli wenyewe kwakuwa wewe ni mtu mkweli sana,ukijaribu kupotosha reality.Nasema huwa unajaribu kupotosha kwakuwa haufanikiwi na watu walishajua rangi Yako halisi.
 
Unaichokoza serikali...

Wakati shule zote za kata zina madawati na walimu wa kutosha...
 
Back
Top Bottom