Cheketuwa mwanang..!! Dah, bong la video.
unaendekeza ujinga utalemaa akili kwa kukariri
Hahahaaa, humjui eeh? Kwa taarifa yako tu keshalemaa tayari...lolunaendekeza ujinga utalemaa akili kwa kukariri
Hivi hiyo video ya Salima Adam Juma aliichukua na simu au? Tena Tecno maana Samsung/Iphone zinachukua video bomba kuliko hiyo.
Kwahili Adam umejishusha japo uliwahi kusema kua video kali inategemea na bajeti kali ila kwa hii big NO!
Aisee, video zote nimeshaziona wala sio hapa ulivyoleta wewe.Kwahiyo nimesema kile nilichokiona hata sijahangaika kuangalia.Umenyonyaa ile yenye uwezo Mdogo na rangii hafifu ilaa jitahidii kutafutaa ilio tafautii na hio na usihofiee bundle lako
Aisee, video zote nimeshaziona wala sio hapa ulivyoleta wewe.Kwahiyo nimesema kile nilichokiona hata sijahangaika kuangalia.
Anyways,video kali hapo ni hiyo ya Hemed PHD.Kuanzia mavazi, location kila kitu kiko kwenye mstari.
Kweli ndio maana wengine wameangukia pua.Nikweliii hemed PhD kaitendeaaa hakii video yake, ila kila mtayarishajiii kachezaa part yake!
So far video aliyofanya msafiri wa kwetu studio ya msanii hemed phd ya far away ni kali. ..kiba yupo jikoni tusubiri tuone. ..
Eeh bwana umemaliza.Jux hana jipya hadi nimemchoka hiyo video yake mpya sikuweza hata kuitazama nikaimaliza.Kila kitu kile kile, ajaribu kubadilika.Video quality sio zote hapo juu Kali kihivyo,but ya Wanjera ipo poa...hakuna kitu kizuri kama video inayoendana na maudhui au ubunifu wa next level ambao tanzania bado kwa kiasi fulani tunajikongoja...
Ila kaka jux tafadhali,your songs are starting to become boring....Nafikiri upunguze kuwaangalia akina Trey songz,kwa hatua uliyofikia kiusanii hii nyimbo haina rhyme na almost nyimbo zako zinaanza kufanana 😒...madoido yale yale,beat haiku support,style ya uwasilishaji wa ujumbe ni ile ile.
mkuu kiba yupo jikoni kwa ajili ya cheketua?So far video aliyofanya msafiri wa kwetu studio ya msanii hemed phd ya far away ni kali. ..kiba yupo jikoni tusubiri tuone. ..
Hivi mrisho mpoto hawezi kufanya mziki bila kuongea?jamaa sijawahi kuona anaimba ila ye kuongea tu