Nukta5
JF-Expert Member
- Jun 7, 2014
- 1,182
- 1,288
Week hii wasanii wengi wameachia nyimbo zao pamoja na video miongoni wa wasanii hao ni Linex na video yake ya Salima aliyomshirikisha Diamond, Jux na video yake ya Nikuite nani, Ommy Dimpoz na video yake ya Wanjera ambapo Wema Sepetu yupo ndani pamoja na Idriss wa Big Brother na Mrisho Mpoto na wimbo wake wa Njoo uichukue.
My Take kati ya hizi video hapo ipi ni video kali inayoendana na nyimbo?
Jux Nikuite nani
Ommy Dimpoz
Linex ft Diamond
Mrisho Mpoto
My Take kati ya hizi video hapo ipi ni video kali inayoendana na nyimbo?
Jux Nikuite nani
Ommy Dimpoz
Linex ft Diamond
Mrisho Mpoto
Last edited by a moderator: