Video mpya kali mwisho wa week hii

Video mpya kali mwisho wa week hii

Nukta5

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2014
Posts
1,182
Reaction score
1,288
Week hii wasanii wengi wameachia nyimbo zao pamoja na video miongoni wa wasanii hao ni Linex na video yake ya Salima aliyomshirikisha Diamond, Jux na video yake ya Nikuite nani, Ommy Dimpoz na video yake ya Wanjera ambapo Wema Sepetu yupo ndani pamoja na Idriss wa Big Brother na Mrisho Mpoto na wimbo wake wa Njoo uichukue.

My Take kati ya hizi video hapo ipi ni video kali inayoendana na nyimbo?

Jux Nikuite nani

Ommy Dimpoz

Linex ft Diamond

Mrisho Mpoto
 
Last edited by a moderator:
Hivi hiyo video ya Salima Adam Juma aliichukua na simu au? Tena Tecno maana Samsung/Iphone zinachukua video bomba kuliko hiyo.
Kwahili Adam umejishusha japo uliwahi kusema kua video kali inategemea na bajeti kali ila kwa hii big NO!
 
Cheketuwa mwanang..!! Dah, bong la video.
 
So far video aliyofanya msafiri wa kwetu studio ya msanii hemed phd ya far away ni kali. ..kiba yupo jikoni tusubiri tuone. ..
 
Wanjera ya Ommy ipo poa,nimependa quality kideo kilivyo kisafi ...Na Salima ya Linenga iko poa sana,story kali utataka uitazame tena na tena...
 
Hivi hiyo video ya Salima Adam Juma aliichukua na simu au? Tena Tecno maana Samsung/Iphone zinachukua video bomba kuliko hiyo.
Kwahili Adam umejishusha japo uliwahi kusema kua video kali inategemea na bajeti kali ila kwa hii big NO!

Umenyonyaa ile yenye uwezo Mdogo na rangii hafifu ilaa jitahidii kutafutaa ilio tafautii na hio na usihofiee bundle lako
 
Aisee, video zote nimeshaziona wala sio hapa ulivyoleta wewe.Kwahiyo nimesema kile nilichokiona hata sijahangaika kuangalia.
Anyways,video kali hapo ni hiyo ya Hemed PHD.Kuanzia mavazi, location kila kitu kiko kwenye mstari.
 
Nikweliii hemed PhD kaitendeaaa hakii video yake, ila kila mtayarishajiii kachezaa part yake!
 
video nzur inaitaji script nzur picha nzur shoot za kuvutia ili ielewwke na kila mtu so video ya ommy ni bora
 
Video quality sio zote hapo juu Kali kihivyo,but ya Wanjera ipo poa...hakuna kitu kizuri kama video inayoendana na maudhui au ubunifu wa next level ambao tanzania bado kwa kiasi fulani tunajikongoja...
Ila kaka jux tafadhali,your songs are starting to become boring....Nafikiri upunguze kuwaangalia akina Trey songz,kwa hatua uliyofikia kiusanii hii nyimbo haina rhyme na almost nyimbo zako zinaanza kufanana 😒...madoido yale yale,beat haiku support,style ya uwasilishaji wa ujumbe ni ile ile.
 
So far video aliyofanya msafiri wa kwetu studio ya msanii hemed phd ya far away ni kali. ..kiba yupo jikoni tusubiri tuone. ..

Namkubali sana kiba...ni moja Kati ya top artists wangu wa hapa bongo...Tatizo kiba (sijui management yake!) hawezi ku-act vizuri kwenye video zake....mara nyingi stori ya video haiendani na nyimbo,na yeye mwenyewe sio mbunifu...hapo tu!
Ngoja labda sasa mambo yatabadilika....
 
Video quality sio zote hapo juu Kali kihivyo,but ya Wanjera ipo poa...hakuna kitu kizuri kama video inayoendana na maudhui au ubunifu wa next level ambao tanzania bado kwa kiasi fulani tunajikongoja...
Ila kaka jux tafadhali,your songs are starting to become boring....Nafikiri upunguze kuwaangalia akina Trey songz,kwa hatua uliyofikia kiusanii hii nyimbo haina rhyme na almost nyimbo zako zinaanza kufanana 😒...madoido yale yale,beat haiku support,style ya uwasilishaji wa ujumbe ni ile ile.
Eeh bwana umemaliza.Jux hana jipya hadi nimemchoka hiyo video yake mpya sikuweza hata kuitazama nikaimaliza.Kila kitu kile kile, ajaribu kubadilika.
 
So far video aliyofanya msafiri wa kwetu studio ya msanii hemed phd ya far away ni kali. ..kiba yupo jikoni tusubiri tuone. ..
mkuu kiba yupo jikoni kwa ajili ya cheketua?
 
Hivi mrisho mpoto hawezi kufanya mziki bila kuongea?jamaa sijawahi kuona anaimba ila ye kuongea tu
 
Back
Top Bottom