nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,779
Tumeshawajulisha kampuni husika mkuu. Wanaelekea hapo Mafinga kutoa msaada hope watamkuta bado mzima ingawa haijulikana.
Video siioni isijekuwa ni babe wangu jamani
Ni mzima bado sema anapumua kwa shida. Jamaa wameshafika hapo mafingaTumeshawajulisha kampuni husika mkuu. Wanaelekea hapo Mafinga kutoa msaada hope watamkuta bado mzima ingawa haijulikani kama hapo alipo ni mzima au lah!
Zingatia onyo la mtoa madawajihadhari tu na barakoa na gloves,dah na hawa madereva wanapita kwa mama ntilie,wananunua machangudoa,wanalala lodges yaani mimi nina uhakika hadi sasa hatukosi wagonjwa 10,000 acha tupigwe tu pini na chi jirani eti tunawatishia bandari,Godamn it utadhani hawawezi pita beira,durban au mombasa,siyo kila sehemu wametangliza pesa mbele ya utu kama serikali yetu
Nje ya mada mkuu. Hivi kupigwa pini na mtusi inawezatudhuru kiasi gani hapa kwetu? Naje akipitishia mombasa huko hatochangamana na wenyeji wa huko. Je kila nchi ikifunga mipaka kama yeye je mizigo atapitishia wapi?wajihadhari tu na barakoa na gloves,dah na hawa madereva wanapita kwa mama ntilie,wananunua machangudoa,wanalala lodges yaani mimi nina uhakika hadi sasa hatukosi wagonjwa 10,000 acha tupigwe tu pini na chi jirani eti tunawatishia bandari,Godamn it utadhani hawawezi pita beira,durban au mombasa,siyo kila sehemu wametangliza pesa mbele ya utu kama serikali yetu
Umbea tujamani nimeambatanisha video,kwa anayemjua atoe msaada au kupigia matajiri wenye gari,raia wanaogopa kumgusa wengine wanaendelea na shughuli kama kawaida
welcome to the new Tanzania,magari yanapita kama kawaida watu wanachapa kazi
ONYO: siyo corona jamani,kwani magonjwa mengine hamna?
utupe updates mkuu ....Ni mzima bado sema anapumua kwa shida. Jamaa wameshafika hapo mafinga
Roma: "nasikia mzee poyu zeka mbochi"(Nasikia mzee yupo zake chimbo)Huu uongo wa Chadema