Video: Msaada unahitajika, dereva wa lori aanguka Mafinga

Video: Msaada unahitajika, dereva wa lori aanguka Mafinga

nzagambadume

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2018
Posts
2,430
Reaction score
5,779
Jamani nimeambatanisha video,kwa anayemjua atoe msaada au kupigia matajiri wenye gari,raia wanaogopa kumgusa wengine wanaendelea na shughuli kama kawaida.

Welcome to the new Tanzania, magari yanapita kama kawaida watu wanachapa kazi

ONYO: Siyo corona jamani,kwani magonjwa mengine hamna?

Wajihadhari tu na barakoa na gloves,dah na hawa madereva wanapita kwa mama ntilie,wananunua machangudoa,wanalala lodges yaani mimi nina uhakika hadi sasa hatukosi wagonjwa 10,000 acha tupigwe tu pini na chi jirani eti tunawatishia bandari,Godamn it utadhani hawawezi pita beira,durban au mombasa,siyo kila sehemu wametangliza pesa mbele ya utu kama serikali yetu
Tumeshawajulisha kampuni husika mkuu. Wanaelekea hapo Mafinga kutoa msaada hope watamkuta bado mzima ingawa haijulikana.
 
wajihadhari tu na barakoa na gloves,dah na hawa madereva wanapita kwa mama ntilie,wananunua machangudoa,wanalala lodges yaani mimi nina uhakika hadi sasa hatukosi wagonjwa 10,000 acha tupigwe tu pini na chi jirani eti tunawatishia bandari,Godamn it utadhani hawawezi pita beira,durban au mombasa,siyo kila sehemu wametangliza pesa mbele ya utu kama serikali yetu
Zingatia onyo la mtoa mada
 
Nje ya mada mkuu. Hivi kupigwa pini na mtusi inawezatudhuru kiasi gani hapa kwetu? Naje akipitishia mombasa huko hatochangamana na wenyeji wa huko. Je kila nchi ikifunga mipaka kama yeye je mizigo atapitishia wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jamani nimeambatanisha video,kwa anayemjua atoe msaada au kupigia matajiri wenye gari,raia wanaogopa kumgusa wengine wanaendelea na shughuli kama kawaida
welcome to the new Tanzania,magari yanapita kama kawaida watu wanachapa kazi
ONYO: siyo corona jamani,kwani magonjwa mengine hamna?
Umbea tu

Aliyekwambia ana tatizo la kupumua nani ?
 
Hii siyo Tz ninayoijua. Ninayoijua ni kwamba mtu akianguka atakimbiliwa, hata kama ni kwa ajili ya kumuibia ila atakimbiliwa. Hii ya sasa ni ngeni.

Dalili zilikua mbaya tangu mwanzo
 
Back
Top Bottom