Video: Msiba Urusi, imepoteza kamanda mwingine kule Ukraine

Haijatokea kwa muda mrefu kwa taifa kupoteza majenerali kama Urusi, ni hatari sana na hasara kubwa na aibu kuu....

Huo ni uongo, mpaka unamuua general inamaana umeteketeza brigade kibao, hizo ni propaganda tu.
 
Sanctions wanapigwa warusia wanaumia nchi za ulaya
Umesikia Ulaya wanazuiliwa kuchukua zaidi ya $10,000 kwa Bank? Ni wapi Ulaya wanashindwa kutransanct,umesikia Ulaya hawawezi kusafiri kwenda popote watakapo? Ni shirika lipi la ndege la Ulaya limeground ndege zake kisa hawawezi kufanya safari za Kimataifa? Ni nani kakwambia Ulaya wanakufa na baridi kisa Russia kapigwa stop kuuza gesi yake?
 
wenywe Ukraine hawafi??? cjawahi kuona wakitangaza hata mjeshi mmoja kwamba wako makini Sana? au wao vyuma

Sent from my itel W6004 using JamiiForums mobile app
Kufa Kwa wanajeshi wa Ukraine hilo kila mmoja alilitarajia na linatokea Sana Tu , hata hvyo Vifo vya wanajeshi wa urusi hasa high millitary officers at an alarming rate ndio linalostua watu ....!!
 

Hayo maandalizi ya miaka 20 yameharibiwa kwa kwa mwezi mmoja kwa ujinga wa kuingia kufanya mauaji ya kmbar kwenye nchi ya watu, hakutegemea itamgharimu hivi. Urusi imepoteza both tactically and strategically, inarudi nyuma na kuwa kwenye kundi la mataifa ya ulimwengu wa tatu na manyuklia yao ambayo kuyatunza itakua mtihani.
 
Putin alijidanganya sana kuivamia ukraine yeye alijua ukraine ni Sawa na shamba la miwa.
Na alijua ndani siku Tatu atakuwa amemaliza kufyeka miwa yote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…