Video: Msomi Mwakyembe ajifukiza majani ambayo hayajathibitishwa na yeyote kutibu chochote

Hii nchi kwa hali inayoendelea nayo ni vema wananchi tukaongeza maombi
You are brain washed my br. Je wajua dawa nyingi utafiti wake huanzia kwenye mimea? Je wajua wazungu ndio watumiaji wengi wa Chinese traditional medicines? Nenda ulaya na America unakoona ndio wastaarabu uone chinese medicines zinavyouzwa.

You are not exposed or most particulary elimu ya kuunga unga
 
You are brain washed my br. Je wajua dawa nyingi utafiti wake huanzia kwenye mimea? Je wajua wazungu ndio watumiaji wengi wa Chinese traditional medicines? Nenda uraya na America unakoona ndio wastaarabu uone chinese medicines zinavyouzwa.

Uraya ndiyo wapi chief?

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Nilimsikia mtaalamu mmoja ana sema usijifukize zaidi ya dakika tano, usichanganye miti, watoto na mtu yeyote mwenye presha wasijifukize
 
Hii nchi kwa hali inayoendelea nayo ni vema wananchi tukaongeza maombi
Akili za mabeberu zimekuathiri,hujui miti shamba Ni tiba mbadala,hujui kabla ya ukoloni hatukuwa na madawa ya kisasa,hujui hospitali katika mkoa/wilaya zilikuwa SI chini ya mbili,hujui barabara na magari hayakuwepo,hujui simu au technolojia ya mawasiliano haikuwepo,hata wewe habari ya korona isingekufikia,kwa hayo yote wazee wetu waliishije,nenda Arusha mitishamba imejaa mitaani wamasai wanauza,Ni mkoa gani usiouza mitishamba Kama dawa,nenda misikitini ukaone mikarafuu inavouzwa,mababu zetu waliishije?,pumbaza akili ako sio Kama yangu kwanza bado Kuna debate ya kutukuza uafrika na kudharau ukoloni mamboleo
 
😆😆😆😆 sasa mkuu hapo mimi kukupa tu taarifa ndio kosa langu ?
 
You are brain washed my br. Je wajua dawa nyingi utafiti wake huanzia kwenye mimea? Je wajua wazungu ndio watumiaji wengi wa Chinese traditional medicines? Nenda uraya na America unakoona ndio wastaarabu uone chinese medicines zinavyouzwa.

You are not exposed or most particulary elimu ya kuunga unga
Uraya ndiyo nchi gani mkuu??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu Mwakyembe ni myakyusa wa Kyela ndio maana anajipendekeza pendekeza kwa JIWE; angekuwa mnyakyusa asili wa TUKUYU asingefanya upuuzi huo!!! Wanyakyusa wa Tukuyu wamejimbua.
Aiseee !!
 
Back
Top Bottom