Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #81
wala hakuna ubaya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wala hakuna ubaya
Kuna mimea mingi ina volatile phytocompounds which are toxins and Will adversely affect you directly acutely or indirectly slowly. Usomi wako changanya na hiiYou are brain washed my br. Je wajua dawa nyingi utafiti wake huanzia kwenye mimea? Je wajua wazungu ndio watumiaji wengi wa Chinese traditional medicines? Nenda ulaya na America unakoona ndio wastaarabu uone chinese medicines zinavyouzwa.
You are not exposed or most particulary elimu ya kuunga unga
You are brain washed my br. Je wajua dawa nyingi utafiti wake huanzia kwenye mimea? Je wajua wazungu ndio watumiaji wengi wa Chinese traditional medicines? Nenda ulaya na America unakoona ndio wastaarabu uone chinese medicines zinavyouzwa.
You are not exposed or most particulary elimu ya kuunga unga
Kuna watu wanajua usomi ni kuwa na tamaduni za kizungu, ndio hawa usomi ule kwa uma ukila kwa mkono hujaelimika,You are brain washed my br. Je wajua dawa nyingi utafiti wake huanzia kwenye mimea? Je wajua wazungu ndio watumiaji wengi wa Chinese traditional medicines? Nenda ulaya na America unakoona ndio wastaarabu uone chinese medicines zinavyouzwa.
You are not exposed or most particulary elimu ya kuunga unga
Halafu anamambia mwenzake ana elimu ya kuungaunga