Akili za mabeberu zimekuathiri,hujui miti shamba Ni tiba mbadala,hujui kabla ya ukoloni hatukuwa na madawa ya kisasa,hujui hospitali katika mkoa/wilaya zilikuwa SI chini ya mbili,hujui barabara na magari hayakuwepo,hujui simu au technolojia ya mawasiliano haikuwepo,hata wewe habari ya korona isingekufikia,kwa hayo yote wazee wetu waliishije,nenda Arusha mitishamba imejaa mitaani wamasai wanauza,Ni mkoa gani usiouza mitishamba Kama dawa,nenda misikitini ukaone mikarafuu inavouzwa,mababu zetu waliishije?,pumbaza akili ako sio Kama yangu kwanza bado Kuna debate ya kutukuza uafrika na kudharau ukoloni mamboleo