Video: Mtanzania adaiwa kutekwa mchana kweupe huko Kibaha

Video: Mtanzania adaiwa kutekwa mchana kweupe huko Kibaha

Alafu mnashangaa Congo inavyovamiwa na M23 alafu Wanajeshi wao Wanakimbia.

CCM kweli wameshalifanya taifa letu sasa kuwa kama Congo. Watanzania wamekuwa wajinga na makondoo hadi wanashindwa kumtetea mtu anayefanyiwa udhalimu mchana kweupe.

Hilo Taifa limekufa tayari.
Walking zombies!!!

Ukiwakuta wanavyoshupalia ubishani wa simba na yanga sasa🤣🤣🤣
 
Inasemekana kwamba tukio limetokea jana (20.2.2025) majira ya saa saba mchana.Mkoa wa Pwani, Kibaha, Njuweni, sheli ya Puma.

Huyu kijana (boda boda) alikuwa anapambania maisha yake, akaomba msaada. Wananchi waliposogelea eneo la tukio, alishuka dereva wa hiyo Noah nyeusi ya watekaji akiwa na mtutu wa bunduki (kama inavyoonekana kwenye video), watu ikabidi warudi nyuma.

Boda boda akafungwa pingu kwa kusumbuana nao sana. Wakaanza kumlazimisha kuingia kwenye gari.

Boda hakukubali kirahisi mpaka alipotolewa bastola na huyo aliyevaa vest nyekundu.


KUna Prado imepita hapo je ilikuwa ni team moja na wakamataji?
 
Back
Top Bottom