Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanausalama wasio na akili wanatoa silaha kiholela hivyo?speculation zako haziendani na nguvu iliyotumika.Tunatarajia wanausalama wetu wawe na uwezo mkubwa wa kudhibiti hisia kuliko unavyodhani.
Unachokiongelea wewe ni sawa mtu mzima kubishana na mtoto kisha apandwe na hasira amzibue mtoto makofi kama anapigana na mtu mzima mwenzake.
Tatizo chuma kakaEti una scania,chuma chora Saba blog Aphad, mbele na nyuma.
Jamaa wasen.g hawa aisee.
Bashungwa ameanza pale alipoishia MasauniInasemekana kwamba tukio limetokea jana (20.2.2025) majira ya saa saba mchana.Mkoa wa Pwani, Kibaha, Njuweni, sheli ya Puma.
Huyu kijana (boda boda) alikuwa anapambania maisha yake, akaomba msaada. Wananchi waliposogelea eneo la tukio, alishuka dereva wa hiyo Noah nyeusi ya watekaji akiwa na mtutu wa bunduki (kama inavyoonekana kwenye video), watu ikabidi warudi nyuma.
Boda boda akafungwa pingu kwa kusumbuana nao sana. Wakaanza kumlazimisha kuingia kwenye gari.
Boda hakukubali kirahisi mpaka alipotolewa bastola na huyo aliyevaa vest nyekundu.
Wanausalama walioiva hawatoi silaha hovyohovyo ila mtu kutoa mibundiki mikubwa katika nchi kama yetu hadharani inatia shaka.Wanausalama wasio na akili wanatoa silaha kiholela hivyo?
Hapo watu wangeangusha mvua ya mqwe kuwafanyia mob resistance unafikiri wangebaki hapo?
Rejea tukio la Tegeta kwa ndevu.
Kwa rivers atahamgaika sana na tela mzeeTatizo chuma kaka
Dar mtu unaweza ukamgongea demu wake na akachill tu🤣🤣🤣🤣Mmeshimdwa hata kutumia Lori lenu kugombea hiyo gari Yao ndogo wakakoswa namna ya kutóka??.
Mmeshindwa hata kuwagonga na gari Mmoja wao akavunjikia hapohapo??.
Dar na Pwani kumamaye zenu, mnakula mayai ya kisasa kiasi kwamba Hamna akili za Kupambana na changamoto chapchap.
Sasa kama Hilo wanawafanyia Mchana, ni vipi kuhusu usiku??.
Nyinyi ni wasenger manina zenu.Umesoma neno bunduki?
silaha za aina gani visu, au chuma ya moto?Watanzania again, huyo kabaki peke yake hapo. Wanashindwa mkamata na ateswe aseme kisa cha kumteka, wanapompeleka? Hata simu yake kuikagua watu aliowasiliana nao, ingekuwa hatua nzuri ya kuanza nayo. Naona kingine, kutembea na silaha nowadays ni muhimu.
Daktari wa Tamisemi una jeuri kwakua mshahara umeingia unatukana hata watu huwajuiNyinyi ni wasenger manina zenu.
Mnashindaa hata kuwagonga gari???
Mmeshindwa hata kugonga gari lako ili washindwe kuliendesha??.
mkuu umechafukwa roho😀😀😀Nyinyi ni wasenger manina zenu.
Mnashindaa hata kuwagonga gari???
Mmeshindwa hata kugonga gari lako ili washindwe kuliendesha??.
Sawa kabisa, mwanausalama aliyeiva anakuwa na emotional intelligence na hufanya calculated moves sio kutoa silaha kiholela na kujiexpose .Wanausalama walioiva hawatoi silaha hovyohovyo ila mtu kutoa mibundiki mikubwa kwq nchi yetu hadharani inatia shaka.Tunafanya mambo ya kwenye movie ambayo wenzetu wanafanya kunogesha hizo movie.Wamatumbi huku tunafanya kweli😀😀😀
Hao jamaa ninaamini wamekuta wanaowazunguka na kuchukua video ni waoga sehemu nyingine ingekuwa kama Tegeta kwa ndevu.Mambo ya ubabe wa Anodi kwenye tambara la Judgement day( THE TERMINATOR)😀😀😀.Wazungu hakuna siku watatupa heshima ya kututambua kama WATU KAMILI,we are a total joke to be equated to them!!!Mimi mwenyewe ningekuwa wao ningewabagua watu weusi.Its total insane and SAVAGE to be A BLACK PERSON!!!
Hii level watanzania hatujafika mkuu, ukweli ndo huoMkikusanyika watu 50 au 100 hapo watawaua wote?
Hao watekaji hapo kama risasi wali,o nazo sidhani kama zinazidi 10 kama wana bastola
Shida ujui kama huyo jamaa ni jambazi au mla wake za watu ili anakwenda kupelekewa kibogaAlafu mnashangaa Congo inavyovamiwa na M23 alafu Wanajeshi wao Wanakimbia.
CCM kweli wameshalifanya taifa letu sasa kuwa kama Congo.
Watanzania wamekuwa wajinga na makondoo hadi wanashindwa kumtetea mtu anayefanyiwa udhalimu mchana kweupe?
Hilo Taifa limekufa tayari.